HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilijifunza tokea siku ile asee
 
Hapa ndipo ulipochemka Kiswahili . Ungetema yai Muda huu ungekuwa Mdh.
Lugha ya malkia ni rahisi kuliko Kiswahili.
 
Kiswahili ni mtego utakamatwa sana maana utafanya code switching hii sio nzuri Kuna sehemu utachanganya na kingereza kutokana na baadhi ya terms za kisomi.

Wale wengi kweny panel ni kama wewe wanajua kingereza cha ugoko lakini wananote zile point kubwa tu ..Siku nyingi usichague kiswahili.

Kama tangazo tu liko kingereza na duties and responsibilities zipo kingereza sasa katika kuzileta kiswahili zinapoteza maana kwa kiasi fulani
 
Kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Shombe la kisomali,. Akaja Wizzy naona sasa Mwifa umeshika hatamu katika uzi huu.
Hahahaa.

Shombe la kisomali kashabadili ID, wizy sijui kapotelea wapi na haijulikani kilichomkuta kama kizuri au kibaya.

Mimi nipo sifikirii kuondoka humu, hata kama nikilamba Asali, humu nitaendelea kuwepo kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…