Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapo ni kuwa mpole tuzile back to back za PDF ya Placement kweny website hatuzioni tnaa [emoji28][emoji28][emoji28]
nilijuuua mwez huu mkeka ninao subiri unaachiwa.
kwaa huu ukimya nisubiri January..
maana kuna sikuuuuu hapo mbele lazima watumishi wapumzikeeee
KUNA KUJUA NA BAHATI.hahahaa mambo ya true or false sio
ICT technician multiple choice yalikua 40 ya kuelezea 4Ni post gani ilikuwa mkuu?. Na je maswali yote yalikuwa ya kuchagua jibu sahihi?.
Poleni sana multiple choice sio poa mzee sio poa kabisaICT officer programmer maswali 50 yote multiple choice alaf majibu yana fanana kinoma.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Inaweza ikawa hivyo ila ngoja tusubiri kuanzia kesho wanaweza kutoa pdf ya kufungia mwakazile back to back za PDF ya Placement kweny website hatuzioni tnaa [emoji28][emoji28][emoji28]
nilijuuua mwez huu mkeka ninao subiri unaachiwa.
kwaa huu ukimya nisubiri January..
maana kuna sikuuuuu hapo mbele lazima watumishi wapumzikeeee
Hapo ni kama kubeti yaaniIla wazee utumishi inahitaji mtu usome sana multiple choice hazina mbabe
Tgs d ni mshahara wa kiasi gani?
Nipo hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui ata nisemeje. Imagine swali la hesabu ndo nlifundishwa jana na ndo nlikuwa na idea nalo the rest malaika wa zamu atatenda muujiza[emoji23]Dada Prok tupe mrejesho, mkando ulikuwaje
710,000 from to 765,000Nauliza kujua
Kama anaye upload PDF n shabiki wa Messi [emoji28][emoji28][emoji28]Inaweza ikawa hivyo ila ngoja tusubiri kuanzia kesho wanaweza kutoa pdf ya kufungia mwaka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama anaye upload PDF n shabiki wa Messi [emoji28][emoji28][emoji28]
tutegemee makubwa leo au keshoo
Wacha nikae mkao wa kushiba hapa.Mkuu Mwifwa naomba utuwekee hapa mchanganuo wa marks za maswali ya Oral.. maana Huwa yanakuwa matano, nataka kufahamu kama yanafanana alama au vp..? maana utakuta Kuna swali unaulizwa wanataka points 5, lingine wanataka 3 na lingine unaweza kuulizwa definition au explain kitu Fulani.
Pia Jumla ya marks za Oral zinakuwa ngapi..?
We unapitiatia sana miongozo Yao bila shaka utanitoa tongotongo hapa.
Hongera, usijali utatoboa, Muumba atatenda miujiza.Nipo hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui ata nisemeje. Imagine swali la hesabu ndo nlifundishwa jana na ndo nlikuwa na idea nalo the rest malaika wa zamu atatenda muujiza[emoji23]
Kweli umepoa sana, mimi jana niliingia humu mara kadhaa nikakuta kimya, yaani nilikuta comment ya mwisho niliyoiacha ilikuwa bado ipo pale paleUzi umepoa sana wazee mlikua mnatutia moyo maisha yasonge