Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuishi kwenye "kila mtu ana uhuru wa maamuzi yake", ila binafsi sifurahishwi na watu kutoweka kisa wamelamba Asali, hata kama majukumu yanakuwa mengi huwezi kukosa hata dk 10 za kuingia humu.

Uko sahihi sana Mkuu, muda wa kusabahi kwa komenti moja au mbili haukosekani, ikishindikana kabisa hata kumwaga LIKES ni ishara ya kuambia watu tuko pamoja.

Hahahaha! Japo nasubiri na wewe utokee halafu nakupa mwezi mmoja baada ya kuanza kazi ili niangalie kama utaendelea kuhudhuria!
 
Huyo bwana akishalamba asali na kuanza kuogelea kwenye mzinga tu, atatelekeza uchambuzi wa vifungu na kanuni vya wakandaji, akiwa busy kusubiri kila tarehe 22-25,...(jocking)
 
Hahahaha ukishapita kwa PDF kuja huku yataka moyo
 
Hahahaahaaa.

JF imekuwa ni nyumbani kwangu tangu nijiunge humu, sijui kama kuna sababu gani nzito itanitoa humu. Kikubwa tuombe Mungu aendelee kutujalia pumzi.

Ukiangalia mitandao inayoongoza kupendwa hapa Bongo ni FB, Insta na sasa Tiktok inakuja kwa kasi, binafsi FB nishaikacha tangu niifahamu JF, Insta nishashindwa kabisa kuitumia kutokana na feature yake utendaji inayotaka uweke ambatanaisho(picha, video) ndipo uweze kupost.

Mitandao pekee niliyodominate ni JF, Telegram(humu nimetunza nyaraka zangu, na pia naweza kutafuta na kupata nyaraka/file ninalolitaka), Twitter, LinkedIn
 
Huyo bwana akishalamba asali na kuanza kuogelea kwenye mzinga tu, atatelekeza uchambuzi wa vifungu na kanuni vya wakandaji, akiwa busy kusubiri kila tarehe 22-25,...(jocking)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naomba nipate nafasi(mrija wa Asali), then nitaomba hilo lisitokee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naomba nipate nafasi(mrija wa Asali), then nitaomba hilo lisitokee
Hapo kwenye kuomba hapo, mpaka maombi yajibike, habari, kanuni na taratibu za wakandaji utakua ushazisahau, utakua unadhinda keleee kimasihara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…