HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
Tuishi kwenye "kila mtu ana uhuru wa maamuzi yake", ila binafsi sifurahishwi na watu kutoweka kisa wamelamba Asali, hata kama majukumu yanakuwa mengi huwezi kukosa hata dk 10 za kuingia humu.
Uko sahihi sana Mkuu, muda wa kusabahi kwa komenti moja au mbili haukosekani, ikishindikana kabisa hata kumwaga LIKES ni ishara ya kuambia watu tuko pamoja.
Hahahaha! Japo nasubiri na wewe utokee halafu nakupa mwezi mmoja baada ya kuanza kazi ili niangalie kama utaendelea kuhudhuria!