Kitalaamu tunasema yeye ndo kalamika. Sema nakupenda kaka angu panicking mode yako iko mbaaliii sanaTutumie kifungu gani cha PGO kukazia hapa ili aelewe kuwa sijalalamika[emoji3][emoji3]
Uje na zawadi za sikukuuu[emoji23][emoji23][emoji23]Prok usione nipo kimya ni vile naandaa mkeka wa kufikia huko mjini PM
Hii tunaita "knowledge by experience" ameamua kusoma na kuelewa sheria na kanuni za wakandaji, akisubiri placement hataki hii kitu tunaita "idle mind"Ndugu yetu inabidi aongezee kwenye elimu yake japo kadigirii kwa sheria, inaonekana atapatia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona nataka jambo toka kwa "da' PGO"
Sawa usiwazeUje na zawadi za sikukuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3060]Sawa usiwaze
Life has no formulaKuna Mwl wangu fulani nilipokuwa Form 2 aliwahi kusema "Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha", kwa kipindi hicho hiyo kauli sikuweza kuielewa ila nilikuja kuielewa tayari nikiwa nishapata elimu ngazi ya degree.
Mimi ni miongoni mwa Mwanafunzi pekee niliyebahatika kuchaguliwa shule ya Bweni kutoka kijijini kwetu, wengine walitupwa shule ya kata, wengine wakatupwa kitaa(hawakufaulu almaarufu kuPASS kwa enzi hizo).
Cha ajabu sasa ambao hawakuPASS wengi wao ndio wakawa wa kwanza kutoboa life.
Tuliong'ang'ania njia ya kalamu kama njia ya kutoboa ndio tumebaki wa mwisho kwenye hizi races za kutoboa, huku tunabaki kutojua kumbe tulipoteza sana muda ingawa tukipata mirija ya Asali tutaweza kufanya come back ya kibabe kama Mbappe juzi.
Takwimu zinaonesha kuwa, darasa letu Primary tuliofanikiwa kupata degree moja kwa moja ni 2 tu (Mimi na mwingine alisoma Ualimu). Wote na degree zetu bado tunapambana kusaka mirija ya Asali, yule wa Education ajira za moja kwa moja tunajua Mwendazake alizisimamisha ,juzi kwenye Interview za Bunge niliona kaitwa kwenye mkando(sijui kama alienda au la).
Kwa kifupi tuliokuwa wa kwanza zamani, sasa tumekuwa wa mwisho. Life halina formula.
Sifikirii kurudi shule, hii degree 1 inanitosha, sasa naisaka degree ya mtaani kwa mgongo wa mrija wa Asali.
hahahaa miss u too,uko gud lakiniMkuu, potelea pote bora watu wajue, ila nimekumiss sana.
hahahaa miss u too,uko gud lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pendaneni muweke rekodi!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pendaneni muweke rekodi!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaProk usione nipo kimya ni vile naandaa mkeka wa kufikia huko mjini PM
Hahahahahaa.Kitalaamu tunasema yeye ndo kalamika. Sema nakupenda kaka angu panicking mode yako iko mbaaliii sana
Siku mambo yakienda ndivyo sivyo nitatimba na vifungu vya kanuni ofisini kwao kwenda kudai haki yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii tunaita "knowledge by experience" ameamua kusoma na kuelewa sheria na kanuni za wakandaji, akisubiri placement hataki hii kitu tunaita "idle mind"
Kikubwa sisi tunatoa ulinzi tu[emoji3][emoji3]hahahaa miss u too,uko gud lakini
Ila Wizy kama ni kukosa mrija kumempoteza the expectations were too high. I just hope apate courage ya kuendelea na harakati nyingine salamaHahahahahaa.
Ngoja niendelee kupush agenda huku kitaa, ipo siku nitakuibukia huko k/koo, sina wasiwasi sasa maana wizy kashapotea hamna mtu wa kuja kunizonga zonga kuhusu koneksheni ya kukufikia[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaa.
Ngoja niendelee kupush agenda huku kitaa, ipo siku nitakuibukia huko k/koo, sina wasiwasi sasa maana wizy kashapotea hamna mtu wa kuja kunizonga zonga kuhusu koneksheni ya kukufikia[emoji3][emoji3][emoji3]
itakua kapata placement akaamua afurahie peke yake akaona humu hapamufaiIla Wizy kama ni kukosa mrija kumempoteza the expectations were too high. I just hope apate courage ya kuendelea na harakati nyingine salama
Kariakoo usije, utachoka kabla hujafika. Sema bana leo ndo nmewaza ningekuwa na kazi aisee, Kariakoo hakupitiki na watu wanataka order zao. Yaan badala ya kugongwa na gari ama boda unagongwa na watu ama mizigo[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaa.
Ngoja niendelee kupush agenda huku kitaa, ipo siku nitakuibukia huko k/koo, sina wasiwasi sasa maana wizy kashapotea hamna mtu wa kuja kunizonga zonga kuhusu koneksheni ya kukufikia[emoji3][emoji3][emoji3]