Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..aacha cc twende kuna mdau wangu kapata kazi Open University bila hata connection.
wewe kata tamaaa kivyakoo
Hongera sana mkuu.Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Hongera sana mkuu, ikawe kheri.Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Hongera sana mzee..Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Congratulations[emoji4]Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Thanks mkuuHongera sana mkuu.
Asante mpambanaji.. naamini Mzumbe wamepata mfanyakazi bora sana mwenye maadili..Hongera sana mkuu, ikawe kheri.
Ukawe mtumishi bora mwenye kuzingatia maadili, Asali isije ikakupofusha na kukulevya..[emoji3][emoji3]
Asante Mkuu..Hongera sana mzee..
Ukawe mtumishi mwenye kusimamia miiko na sheria za utumishi bora.
Thanks mkuu[emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490] hongera sana
Thanks mkuu ...
Asante sana mkuu.. nashukuru...Congratulations[emoji4]
hapana mkuu nimesoma UDSM bachelor.. masters nikasoma Open UniversityMkuu, hongera sana. Ulisoma Mzumbe?
Nimefurahi sana tena sana Mkuu hongera sana mungu akutangulie katika safari yako sasa na kazi zakoAsante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Nikajua mzumbe kwa kazi za ulecturer huwa wanachukua products zao tu,kumbe wanachukua na kwingine?hapana mkuu nimesoma UDSM bachelor.. masters nikasoma Open University
Hongera mkuu hii ni chachu kwetu wapambanajiAsante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Oyah wadau.. kwani ukiwa na hard copy ya NIN.. Iko coloured vizuri si inatumika kwenye kupokelewa pale PSRS..?
Yap mkuu.. ni vigezo pia saa nyingine maana unaweza kukuta product ya chuo kingine ambayo ina vigezo kwahiyo naona ndo imetokea kwanguNikajua mzumbe kwa kazi za ulecturer huwa wanachukua products zao tu,kumbe wanachukua na kwingine?
Asante sana mkuu.. nashukuruNimefurahi sana tena sana Mkuu hongera sana mungu akutangulie katika safari yako sasa na kazi zako