Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

aacha cc twende kuna mdau wangu kapata kazi Open University bila hata connection.
wewe kata tamaaa kivyakoo
Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..

Mungu ni mkubwa...

Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
 
Hongera sana mkuu, ikawe kheri.

Ukawe mtumishi bora mwenye kuzingatia maadili, Asali isije ikakupofusha na kukulevya..[emoji3][emoji3]
 
Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..

Mungu ni mkubwa...

Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Hongera sana mzee..

Ukawe mtumishi mwenye kusimamia miiko na sheria za utumishi bora.
 
Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..

Mungu ni mkubwa...

Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira
Nimefurahi sana tena sana Mkuu hongera sana mungu akutangulie katika safari yako sasa na kazi zako
 
Back
Top Bottom