Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kariakoo usije, utachoka kabla hujafika. Sema bana leo ndo nmewaza ningekuwa na kazi aisee, Kariakoo hakupitiki na watu wanataka order zao. Yaan badala ya kugongwa na gari ama boda unagongwa na watu ama mizigo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bora ugongwe na hao watu/mizigo huwezi kuumia ukilinganisha na gari.
 

Hahahahaha! Sawa Mkuu, kwa kifupi ulichomaanisha ni elimu ilichokufanyia umekoma, ni bora ufanye mambo mengine kwa sasa.

Japo haya mambo ndivyo yalivyo, kuna kusahau. Hata ukikutana na mwanamke aliyetoka kujifungua muda si mrefu anaweza kujiapiza kwamba kwa maumivu aliyoyapitia kubeba ujauzito mpaka zoezi la kujifungua hatorudia tena.

Lakini baada ya muda mfupi sana, kusahau na mambo mengine yakobaiolojia humfanya atamani kuongeza mtoto.

Ninachomaanisha, ukishaingia kwenye pipa la asali utajikuta ajira inakushape, unaanza kuwaza kupanda juu zaidi kwa kuongeza elimu.
 
Ndio hivyo mkuu, labda mzee wa flash atusurprise hizi siku chache zilizosalia

Hahahaha! Kwa mwenendo wa Mzee wa pdf huwa anatabia ya kufanya kazi nje ya muda wa kazi pamoja na sababu nyingine ni ili apate allowances kidogo.


Nadhani hizi weekends na sikukuu au hata jioni na usiku msizichukulie poa, hashindwi kufanya jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…