Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukifanya oral ukikaa kanzi data unapangiwa kazi yoyote ambayo taaluma yako unaruhusiwa, unaweza ukafanya oral ya wakili wa SERIKALINI ii unapangiwa baadaye Kama afisa tarafa ii

Duh! Asante sana Mkuu, kama ni hivi basi kuna unafuu mkubwa sana.
 
Ukifanya oral ukikaa kanzi data unapangiwa kazi yoyote ambayo taaluma yako unaruhusiwa, unaweza ukafanya oral ya wakili wa SERIKALINI ii unapangiwa baadaye Kama afisa tarafa ii

Nikadhani utapangiwa kinachofanana na ulichoomba.
 
Ni lazima iwe na uhitaji coz mara zote hawwezi kutangaza kazi na kupitisha saili hizi saili zinamatumizi yake ya pesa pia.. unaweza Kuta Halmashauri Fulani inauhitaji wa nafasi 1 hapa lazima wanyofoe mtu kutoka database

Aisee hapa nimekuelewa vizuri sana Mkuu.
Asante.
 
Asante sana Prof. Umelitendea haki swali langu.
 
anafanya tusikate tamaa japo tunakata tamaa kulingana na matokeo ya practical na nafasi zenyewe mbili kwa ile oral ya utumishi unajua tu ushafeli make dooh nilizidiwa prac may be mungu abariki nipindue meza oral
 
Prac na Oral zote zinachangia marks kwenye ufaulu wa jumla ili upate kazi.

Kwahiyo usipoteze matumaini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…