Kumbe mkuu ulikuwa na Mishe za kuongeza wigo wa placements.. maana naona japo umekandwa Ila bado unasubiria maplacementAiseeh, Utumishi unaweza kupata marks unayodhani ua haipo! Turudi kusubiri placement game ngumu
Ngoja tuone, zimebaki siku 4 ikiwemo leoNimesoma mwongozo huo wote kurasa 21,Kuna kila dalili ya Placement zote za Mwaka huu kutoka Kabla ya January...Maana nimeona kama January huwa Wanaanza vikao vipya kwa ajili ya Ajira zijazo...
Hahahaaa, ndio agenda iliyobaki maana agenda kuu(placements) bado giza neneMwifwa naona unashusha vifungu tu,
Kanuni namba 16 (3) inasomeka hivi: Alama za ufaulu kwa kada zinazohusisha usaili wa vitendo au uwasilishaji wa mada zitapatikana kwa kuchukua alama za vitendo au uwasilishaji wa mada jumlisha alama za mahojianoUnaweza ukanichimbia zaidi kuhusu hii
Awasiliane nao haraka ili ajue hatima yake.Kuna dogo hapa kitaa haamini anachokiona custum officer kwenye account yake Ameonekana amekandwa ila kwe Pdf hayupo kabisa number yake
Msomi amelala yooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umewakanda msomi?
Mwambie asearch, majina ni mengi sana yale. Asearch pdfKuna dogo hapa kitaa haamini anachokiona custum officer kwenye account yake Ameonekana amekandwa ila kwe Pdf hayupo kabisa number yake
Huyo yumo kwenye PDF Ila wenge limemuingia, mwambie aangalie namba zake mbili za mwisho atajionaKuna dogo hapa kitaa haamini anachokiona custum officer kwenye account yake Ameonekana amekandwa ila kwe Pdf hayupo kabisa number yake
Yah mzee nimetoboa ss najifua prac hatariiMzee wa IT umetoboa?
Yah mzee nimetoboa ss najifua prac hatarii
Hongera kaka, usichezee nafasi game ngumu!Yah mzee nimetoboa ss najifua prac hatarii
Yah mzee nimetoboa ss najifua prac hatarii
Hapana, wanakuweka kokote
BOT saili zao hazipitii psrsIla tuziweke pembeni taasisi za maana kama BOT.
Hahahahaa
Asipona kabs Bhac Amepata Below Last Mentioned Marks Au Amescore Yai.Mwambie asearch, majina ni mengi sana yale. Asearch pdf.
hatari hiiAsipona kabs Bhac Amepata Below Last Mentioned Marks Au Amescore Yai.