Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unaweza ukanichimbia zaidi kuhusu hii
Kanuni namba 16 (3) inasomeka hivi: Alama za ufaulu kwa kada zinazohusisha usaili wa vitendo au uwasilishaji wa mada zitapatikana kwa kuchukua alama za vitendo au uwasilishaji wa mada jumlisha alama za mahojiano

Hii kanuni haijafafanua zaidi kama itakuwa hivi Prac/uwasilishaji + Oral = Jumla au (Prac/uwasilishaji + Oral) ÷ 2 = Jumla.
Kwa hiyo wao ndio wanajua zaidi hapo
 
Nmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
 
Back
Top Bottom