[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakwel tunastaili pole,mimi nikimuambia mtu sijui hesabu kabisa atashangaa cut nilichosomea kinamahesabu yakutoshaTupeane pole, mimi ata ukinipa scientific calculator siwez itumia, ata kwenye mtihani sikujisumbua kuomba[emoji23]
Ni YeyeNi kawaida watu kuwa na mawazo tofaut tofaut pale wanapokuwa hawaoni kinachofanyika baada ya wao kukusanya mitihani yao, i mean wengi walitamani waone mitihani yao adi na marks zao wazione na jinsi ilivosahishwa ili wajiridhishe,ila ndo haiwezekani.
Ila mitihani ina sahishwa, kwa sababu toka wanze ii process ya kusimamia ajira mpaka leo kama wangekua hawasaishi mitihani ingejulikana haraka sana hata mwaka wasingemaliza, mafuta siku zote huwa yanajitenga na maji
Piga tu msuli, usiruke topic, pata concept, elewa concept, ktk paper hata swali huliepewi elewi, jazs unachohisi ni sahihi, usiache hata swali. Dua pia ni muhim.Duuh, aisee kila mtu na zamu yake hapa Walokandwa TRA, wanasema bora kwanza wangetoa kada nyingine, hapa nina received 3, nikiona watu wanakandwa na kupita, nasema na mimi si ni kama hawa-hawa, tuombeane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nilikuwa nafanya attachment ya dcm ya maswali ya custom ndio nashngaa kina lissu na huyu mrembo wamefika vip hukuMkuu hilo folder lako ni noma naona umesindikizia kaPdf na picha hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
prac ya technician au programmer?Yah mzee nimetoboa ss najifua prac hatarii
Shukrani mkuu, nimekusomaKanuni namba 16 (3) inasomeka hivi: Alama za ufaulu kwa kada zinazohusisha usaili wa vitendo au uwasilishaji wa mada zitapatikana kwa kuchukua alama za vitendo au uwasilishaji wa mada jumlisha alama za mahojiano
Hii kanuni haijafafanua zaidi kama itakuwa hivi Prac/uwasilishaji + Oral = Jumla au (Prac/uwasilishaji + Oral) ÷ 2 = Jumla.
Kwa hiyo wao ndio wanajua zaidi hapo
Hapo mwisho ndio ulipo haribu.Hahah, kwa bahati mbaya sio yeye, nimepitia comment zake baada ya kuona na fananishw naye mwamba alikua active sana, halafu why nafananishwa naye yeye ni wizy mm ni wkingz. Itoshe kusema jamaa kaweka legacy yake na tumuombee ili arudi kuiendeleza.
Kivip kakaHapo mwisho ndio ulipo haribu
Nimekuelewa sasa.Hapo mwisho ndio ulipo haribu.
Inawezekana kabisa, anaweza kuwa na ata ya 4.5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanafeli mitiani ya secretarieti tra mkp mtu katika mtiani wa custom alilamba 1.5 na Ni wengi hatari sana hapo usishange huyo aliyepata hyo 1.5 Ana gpa ya 3.8
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
GPA ya chuo na performance ya PSRS ni inversely proportional, but sometimes can works when preparation meets with lucky and opportunities.Inawezekana kabisa, anaweza kuwa na ata ya 4.5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nilikuwa nafanya attachment ya dcm ya maswali ya custom ndio nashngaa kina lissu na huyu mrembo wamefika vip huku
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwamba inatuhusu tuliosoma na kupata kuishi Cuba!?[emoji3]Hapo mwisho ndio ulipo haribu.