Mara wakandaji wamepoteza mafaili yote so inabidi kila post itangazwe upya. Aloo 😂website ya wakandaji haifunguki, je kuna jambo au shida ya mtandao kwa upande wangu?
Kabsa mkuu, kumbe umenipata.Kwamba inatuhusu tuliosoma na kupata kuishi Cuba!?[emoji3]
Itakuwa Wanaanza kutupia placements....Tuvute subrawebsite ya wakandaji haifunguki, je kuna jambo au shida ya mtandao kwa upande wangu?
Walikuwa wanatupia tangazo la Readvertise la MUCE, sasa inafunguka vizuri.Itakuwa Wanaanza kutupia placements....Tuvute subra
Hahahaaa, ngoja nikaipitie nione amejiunga lini.Kabsa mkuu, kumbe umenipata.
Daaahhh, kwa msoto wa kuisotea oral mbona watatuumiza sana aiseeMara wakandaji wamepoteza mafaili yote so inabidi kila post itangazwe upya. Aloo [emoji23]
Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).Kabsa mkuu, kumbe umenipata.
Na wanakula kichwa mapema tu kwenye writtenDaaahhh, kwa msoto wa kuisotea oral mbona watatuumiza sana aisee
Unataka utumie lugha Gani tofauti na Kingereza?Habari wakuu, kwa ambaye ashawai kufanya practical za utumishi kwenye kada ya ICT, je hua wana limit language au mtu anaweza tumia language moja kujibia maswali yote?
Kijana arudi tu hata kama ni baba Jeni bye bye sio mwisho wa maisha. Kuna watu wengi sana kawasaidia kupitia miongozo yake kuhusu kujiandaa na written so asiogopeNimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 2 kabla placement ya ORCI kutoka ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).
Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.
Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"
Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]
Akaendelea kusema hamfahami wizy.
Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.
Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.
Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
Tumuachie tu imebaki uamuzi wake, kurudi au kutorudi.Kijana arudi tu hata kama ni baba Jeni bye bye sio mwisho wa maisha. Kuna watu wengi sana kawasaidia kupitia miongozo yake kuhusu kujiandaa na written so asiogope
Kabisa tuishi kwa amani tuTumuachie tu imebaki uamuzi wake, kurudi au kutorudi.
Miongozo aliyowahi kuitoa, tusishi nayo na tuiendeleze
Kijana wizy kama uwa unasoma kimya kimya izi comment tafadhali rudiiiiiiiii ichi kikombe kini epuke.Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).
Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.
Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"
Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]
Akaendelea kusema hamfahami wizy.
Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.
Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.
Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
Naam Mkuu kweli wewe umepitia cuba.Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).
Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.
Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"
Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]
Akaendelea kusema hamfahami wizy.
Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.
Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.
Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
Wewe kweli ni Wizy hata kama utakataa ila wewe nj wizy. Jamani huyu ni yeye narudia ni yeye in T.I.D voice.Wasomi wa cuba hapo kidogo mmeyumba.
Kaka wewe noma sana huyu ni yeye asilimia 99.9Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).
Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.
Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"
Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]
Akaendelea kusema hamfahami wizy.
Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.
Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.
Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
So baada ya kupata Asali kaamua kukimbia sio?Kaka wewe noma sana huyu ni yeye asilimia 99.9
Naona navojitaidi kusisitiza mm sio yeye ndo kama nazid kusema mm ndo yeye. ngoja nitulie, kama atarudi ata thibitisha hilo.Kaka wewe noma sana huyu ni yeye asilimia 99.9
Hahahahaa.Kijana wizy kama uwa unasoma kimya kimya izi comment tafadhali rudiiiiiiiii ichi kikombe kini epuke.