Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

sijawai tumia jf na sielewi sheria zao zipoje this dec ni mara yangu ya kwanza kujiunga. Na jf hivo mm ni mgeni humu. Siku niliopost kwa mara ya kwanza niliona wanadai kuwa ujumbe wangu hauonekani kwa umma mpka mod watapo upitia, so nikahis sijawa approved leo ndo first time natuma ujumbe unaonekana direct bila kupitishwa na mod sometime text yangu ilikuwa ina kaa lisaa haijaonekana ndo mod wanaipitisha kwa umma. So mm ukiniita wizy unani kosea sana na pia vp kama mm sio wizy na text zote izi ambazo unataka kuthibitisha mm n wizy nafikir sio sawa huwez jua kijana anachangamoto gani tusiwe wa haraka kusema kijana kashindwa kuhimili matokeo ya wakandajiπŸ˜….
 
Kwa upande wangu hili jukwaa linanisaidia sana kuniepusha na msongo wa mawazo/ sonona. Kwa mfano jana baada ya matokeo kutoka nilikosa raha kabisa na kama isingekuwa mchana ningeenda jogging.

Lakini baada ya kuingia jukwaan nikaanza kuwa normal kabisa, na hata leo nimeamka mwenye furaha na kusahau yote yaliyopita.

Watafutaji wenzangu naomba tuendelee kuwa na subira huku tukimtanguliza Mwenyezi Mungu kwa kila jambo na kuongeza juhudi ktk utafutaji wetu ili kupata mafanikio.
 
Kazi njema mkuu, naona mumevutiwa waya(simu) mkaripoti na kuanza kazi.

Mna bahati sana mumeitwa mapema, wenzenu akina meck pro bado wanasugua bench na barua zao wanasubiri kuvutiwa waya.
 
Aisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana πŸ™, sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
 
Mwamba leo tumevunja kanuni nyingine kwamba placement yaweza toka any time kuanzia ufanye oral..inategemea na uharaka wa taasiss husika.

Mwifwa
Ndiyo hivyo, Sasa mwendo wa placements tu kuanzia Sasa.
Sekretarieti ya Ajira itapendeza Majibu ya Ajira ya saili za Mwaka huu 2022 tuzione kabisa kabla ya 2023 Itakuwa vyema sana.Maana Vijana tunasubiri tuone kama tumefanikiwa au Bado mapambano yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…