Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Aisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana [emoji120], sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
Nilikuwa namjibu huyo wizy mwenye new version aisee.

Kumbe umelamba asali placement leo? What a good moment! Hongera sana. Tunafarijika sana kuona tuliopo humu tunalamba Asali mdogo mdogo.

Kila la kheri na mtumishi mwema!
 

Kwa mtu mgeni kabisa jf afu moja kwa moja uupate huu uzi ki urahisi na kujua maneno kama kukandwa n.k ni ngumu sana.
 
Kweli kaka hizi saili Kuna kupata na kukosa. Vyovyote iwavyo ni Bora kutoa mrejesho. Hii huwapa tumaini watu wengine
 
Wakuu Hivi mshahara wa wa Tutorial Assistant wa scale ya PUTS 1.1 wa chuo kikuu kwa wale wanaoenda kufundisha masomo ya uchumi, huu mshahara Huwa ni sh ngapi ? I mean basic salary ikoje ? na na net salary baada ya kukatwa kila kitu pamoja na deni la bodi ya mkopo ikoje ?.
 
Mshaara wa PHTS1 ni 1,430,000 Sasa sijajua wa PUTS 1.1, basic salary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…