Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Uuu uzii utanitoa damu maana kila mtu anani attack as if mm ni wizy og. Kaka mzoefu wa jf nimetafuta sehemu y kufuta account au ku change id sis wageni tunapata tabu sanaa kuijua jf. Embu nipe maelekezo nifanye maamuz sahihi.
Kula maisha mkuu ndani ya mrija wa Asali.

Sisi ngoja tuendelee kusugua bench, siku yetu ikifika tutaingia pia kwenye mrija kama wewe, ila mimi sitakimbia/jificha kama wewe.
 
Weee usinambie[emoji23][emoji23][emoji23], ila hili swala la Wizy linachekesha
Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anakuambia uje umuazime suti akachukue barua maana ya kwake ilichakaa kwa kupigwa pasi kila mara wakati anasubiri placements.

Mara ghafla akatuachia vumbi na kutimka kudikojulikana.

Sikuwahi kuwaza kama angetusurprise namna hiyo[emoji3][emoji3][emoji3]

Huwa tunasema "Hakuna siri yawatu wawili" ila kuna siri ya mtu mmoja tu.
 
BIG SUPRISE
 
Ngoja niende PM nikajue kijana aliishia wapi na kwa prok maswala ya suti.
 
Ukiwa na kazi ndio nguvu ya kuchagua kazi inakuja![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakati wengine tunapambania kombe la asali hata kwa TGS D, wengine wanatamani kwingine kutoka walipo, turidhike wakuu tunaelewa ni wapi tumetokea hakunaga mshahara unaotosha ulikopangiwa ndio ridhiki yako, kazi kwako tu kujiendeleza na nyanja zingine lkn kikubwa tuwe watumishi wema, turidhike na tutakapokuwa kupata kazi gvt bongo ni neema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…