Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyu ni Wizy nasema huyu ni Wizy. Wizy na status hata umwambie nini hawezi kubadilika kama Ubishi na Muha
 
Kurudi kwa ID mpya ndio kaharibu zaidi, tulikuwa tushampotezea
Hahaha hapa ndo mnapo yumba hakuna ata mmoja wenu mwenye 100% mm ni wizy from nowhere kijana mlikua mmemiss sana inavo onekana jina lake mda wote lilikua lina exist kwenye brain za watu wengi humu ndani.
Ndomana Wkingz ID ya mtu mwingine ikaitwa wizy king tena kwa jinsi mlivomkumbuka mkaenda mbali zaid na kuchukua herufu za wizy kuzifananisha na ID yangu.sio siri kijana ali konga roho za wengi humu ndani kwa inavoonekana. Na anaendelea kuishi atakama hayupo,
 
Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
 
Sahihi mkuu
 
Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Manake kwanza ncheke


Me binafsi nilifanya oral mwez3 mwaka huu mpk leo ziiiiii!!!! na june wenzangu waliitwa kazn, na kuna mwingine alikuwa database akaitwa september na ni mwanangu, lkn kiroho safi kbs najua kwa wakati ule haikuwa ridhiki yangu its just normal tu ni suala la muda tu tunajifunza tunasonga mbele wakati ukifika tutacheka sana! Mema yako mbeleee...2023[emoji3]
 
Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
Zenu mkuu ata kama sio ww basi wengine, mpaka mm nashangaa coz angekua wa kawaida msinge mpa mtu attention kiasi ichi atakama aliondoka akarud kwa id mpya. haijarish ata kama mnamwona coward kiasi mnavo ni attack mm ndo ukubwa wake pia upo ivo ivo.
 
Mlikuwa mnawania nafasi ngapi boss na mlikuwa wangapi Oral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…