Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mambo hayaendi namna hiyo, lazima wakaze waweze fika at least minimum requirements, vinginevyo, ngoma inaweza ikarudi tena uwanjani.
Mi ndo namwambia hiyo ngoma usishngae kuna wana wakrudisha mpira kati kuanza 1 tena utumishi sio poa kama hujajipnga
 
Hahahahaha! Hebu tupe jibu endapo NAOT ile nafasi ya mtu mmoja kupata ikitoka umepata utatupa mrejesho wa kweli? Au ndio itabidi utuambie hujapata ili tujue siye wewe?
Nilianza harakati hizi za kuusaka mrija nikiwa nikichangia kwenye nyuzi za jukwaa hili na ID yangu hii, sifikirii mwisho wangu uje uwe hivyo.

Mara nyingi watu humu JF walikuwa wanajua kuwa mimi ni mlamba Asali isipokuwa wachache wanaonifahamu/tunaofahamiana nje na JF, kama ningetaka watu waendelee kufahamu hivyo nisingekuwa nashiriki kwenye hizi nyuzi kwa ID hii, ningefungua ID nyingine wasioifahamu watu.

Humu kwenye uzi huu, yupo anayenifahamu ingawa hajawahi kukutana na mimi.

Kwa hiyo nikipata hiyo nafasi NAOT nitaleta mrejesho humu, tutafurahia wote humu hatua hiyo muhimu ya kuungwa kwenye gridi ya Taifa ya walamba Asali, watakaoweza kunifahamu nina imani watakuwa wachache miongoni mwa wengi tuliomo JF.
 
Atakaeshindwa kutoboa hapo aisee ndo basi tena.
Mambo sio rahisi namna hiyo, mara zote paper huwa rahisi ukishatoka, au kwa yule ambaye haimuhusu.

Katika kukabiliana na panel kuna ile hali ya kupoteana, faham kamili unakua nazo ukiingia na wakati wa kutoka tu.
 
Ha ha ha, uzuri nadhani alisema mwanaume alikuwa yeye pekee yake. Hivyo ni rahisi kujua.
Wanaume tulikuwa 3, wasichana walikuwa 2, mwingine alifanyia Zenji sijui jinsia yake.

Kati ya wale wasichana 2, mmoja tayari kashapata nafasi kwenye placement ya kwanza kutoka mwezi December
 
Mambo sio rahisi namna hiyo, mara zote paper huwa rahisi ukishatoka, au kwa yule ambaye haimuhusu.

Katika kukabiliana na panel kuna ile hali ya kupoteana, faham kamili unakua nazo ukiingia na wakati wa kutoka tu.
Mule ndani kugumu kuna watu wanshndwaga kuongea kbsa wanabaki kutetema tu ss utapewaje kz na unatetemeka tu 🤣🤣
 
Hapa issue ni utayari wa kujulikana, kuna wengine hawako tayari true identity yao kujulikana, wana sababu zao.
 
Naona Mikando inaendelea kama kawaida huko PSRS,, yaan watu wanaupokea mwaka kwa Mikando..
Hizi kazi zenye saili zaidi ya 2 naona sio salama kabisa kwa Afya ya Majobless..
Hizi zenye hatua 3 ni ngumu sana aisee.

Usikute aliyeoongoza written akija huku anakandwa
 
Pole sana mkuu, usikate tamaa, bahati yako ipo ila muda bado haujafika. Muda ukifika utafurahi mwenyewe na kusahau yote haya unayopitia.

Be strong mkuu, tusonge mbele
 
Hapa issue ni utayari wa kujulikana, kuna wengine hawako tayari true identity yao kujulikana, wana sababu zao.
Kweli mkuu, wapo ambao hawataki kutambulika kabisa.

Mimi kuna watu wananitambua kama kawaida humu, kama ningetaka nisitambulike kabisa hata hawa wanaonifahamu ningekataa wasinifahamu
 
Sema mimi naona bora hata mnaoitwa interview , kuna watu kozi zetu hata ajira portal hazipo. Hata field zetu za kazi hatuzielewi , inshort tupo wahanga tumesoma kozi ambazo hazieleweki na huwa tunawatamani hata nyie ambao mnatambulika na kuitwa kwenye interview
 
Tupe nondo mkuu namna ya kuipata hiyo 50%
Oral ya ICT IPO trick kidogo inatakiwa ufatilie Toka mwazo written na practical wametoa nn then uvisome na uelewe
Baada ya hapo unagusa gusa vitu ambavyo havijatoka kabisa kwenye hizo Pepa za nyuma
Cha mwisho ni uzembe kukosa swali la introduce you self wakati unajua lazima ukutane lao na ni swali la kwanza
Kinachobaki mkuu ni Mungu na njia zingine za bibi kutoboa kama kati ya hizo hakuna hata Moja iliyonayo duh basi Matokeo waachie Psrs wao ndo wataamua wakupe kazi au wasikupe🤣🤣🤣
 
Kutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.

Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓


Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…