Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama mie tu magari Sasa nayajua na nikingia job ndo kabisa mie na jamaaa anayefundisha mechanic [emoji3463] lazima tuwe marafiki kila siku kama Sina kipindi naenda kula SoMo Bure bila kulipa Ada
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah!!!! Ngoja niwe mpole jobless mm! Nosubiri psrs wafanye yao...nikikua nitakuwa km wwe meckpro
 
Ungeenda tu
Walinipangia dodoma then nipo dar(sinaga sanduku la posta) nikawacheki wanibadilishie kituo Cha Pepa nikafanye duce wakagoma kabisa nikawambia naenda hivyo hivyo 🤣 wakasema hiyo hawezekani ndo wakatoa na TANGAZO kila Mtu akafanye interview sehemu aliyopangiwa na mfukoni Nina 60k tu basi nikakusha tu hata sikua na mood ya kukopa nikijipa moyo Nina kazi mie sitaki Tena interview
 
Unaona sasa maana ya kuishi kwa matumaini, ukajipa moyo kazi unayo.
 
Mkuu hukwenda kwa maana hukuomba hizo nafasi au ulikuwa shortlisted lkn ulipotezea kwa sababu tayari una barua mkononi.
Nilipotezea kisa Nina barua pia walinipangia dodoma mfukoni Nina Hela ndogo siku zingine huwa nakopa fresh naenda ila hii nikaona siwezi kukopa wakati Nina barua so pia niliwacheki wanipe ruhusa nifanye duce wakagoma kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…