Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah!!!! Ngoja niwe mpole jobless mm! Nosubiri psrs wafanye yao...nikikua nitakuwa km wwe meckproKama mie tu magari Sasa nayajua na nikingia job ndo kabisa mie na jamaaa anayefundisha mechanic [emoji3463] lazima tuwe marafiki kila siku kama Sina kipindi naenda kula SoMo Bure bila kulipa Ada