Kuna siku nilikuona kule, ukawa unahadithia hatua mbili tatu kuhusu biashara, baadaye nikaona watu wakaanza kukuomba mtete PM.Huo uzi ndo umenifanya nibadili ID na kuufuta lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watanzania wengi wavivu na hawana shukrani, wachache nliwasaidia na nashukuru Mungu we are getting along.... Ila nmekuja kuona why hatuendelei, tutabaki kulilia ujobless [emoji23][emoji23]
Ma jobless mliofanya oral ya MUHIMBILI (MNH) PDF ishatoka huko nenda kaangalie jina lakoKuna siku nilikuona kule, ukawa unahadithia hatua mbili tatu kuhusu biashara, baadaye nikaona watu wakaanza kukuomba mtete PM.
Mimi nilipita tu kimya kimya bila kutia neno wala like, maana ukilike, quote, reply tayari mtu anajua ushasoma post yake[emoji3][emoji3]
We acha tu dada, bado tupo Hadi Leo hatujaanza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], We kazi unayo tyar sa sijui utakuwa unasumbuliwa na nini[emoji23][emoji23]
Weeweeeeeeeeeeeeeeeeeee hongera sanaaahatimaeeeeeeeeee nimewakanda utumishiiiiiiiii yeeeeeeeeeees
Subaruuuuuuuuuuu😂😂nipooooooooooooooooooo
Hongera barakanipooooooooooooooooooo
Hongera sana mkuu, hebu wape uzoefi jobless humu namna ulivyojibu maswalihatimaeeeeeeeeee nimewakanda utumishiiiiiiiii yeeeeeeeeeees
premio kakaSubaruuuuuuuuuuu😂😂
Hongera sana physiotherapist Mtorela🤣🤣🤣🤣 Sasa natumai nawewe nitakuona ona kwenye jukwaa la mahusiano kule😂asante kaka ndoige moja kali
nishavuta muda sana uteleziHongera sana physiotherapist mtorela🤣🤣🤣🤣 Sasa natumai nawewe nitakuona ina kwenye jukwaa la mahusiano kule😂
Hongera sana bwana physiotherapistasante kaka ndoige moja kali
Hahaaa itakuwa ulikuwa pazuri wewenishavuta muda sana utelezi
ICT technicianEmbu tupe experience yako na share baadhi ya maswali ulioulizwa tufahamu muundo wa maswali ni mention au explain points zako tano tano ...wasaidie jobless wenzio wawewanajua wakiingia oral mfumo wa maswali uko hv Twinawe
nilikua ngos na miezi 2 tu toka niko kwenye mfumo now naingiagovernmentHahaaa itakuwa ulikuwa pazuri wewe
Safi sana sasa unakuja sehemu pendwa, hakika ni furaha sananilikua ngos na miezi 2 tu toka niko kwenye mfumo now naingiagovernment