Duh noma sana hiyoOohoo hapo utapoteza nauli yako yani ni bora ukawapigia simu kwanza maana kunajamaa angu waliitwa kuchukua barua kwenye post iliyohitaji watu watatu ila kwenye list ya placement waliongezwa na yeye alikua mmojawapo ya walioongezwa kwenye list, alipofika akaambiwa ni makosa yalijitokeza post ilihitaji watatu tu walioongezwa hawana barua
Hapo kama ni mimi nawafungulia kesi mahakamani na kazi/barua watanipaOohoo hapo utapoteza nauli yako yani ni bora ukawapigia simu kwanza maana kunajamaa angu waliitwa kuchukua barua kwenye post iliyohitaji watu watatu ila kwenye list ya placement waliongezwa na yeye alikua mmojawapo ya walioongezwa kwenye list, alipofika akaambiwa ni makosa yalijitokeza post ilihitaji watatu tu walioongezwa hawana barua
Lile tangazo jioni hii litawekwa tena.. Ila lazima litaongezwa taasisi nyingine nyingi tena unaweza kuta zote za November zitakuwa ndani.. Lile pdf ni ndogo sana lazima waweke kitu kilichonona.. Wale wa HESLB & NAOT mjiandae kupokea majina yenu na Barua zenu leoKwahiyo wanaweza kufuata barua? Isije ikawa wameanza kuipika mpya hiyo pdf
Hyo kesi ukishindwa basi usijidanganye kuwa Unaweza kupata via PSRS😁Hapo kama ni mimi nawafungulia kesi mahakamani na kazi/barua watanipa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]lazima pachimbike hapoNajaribu kuwaza incidence ambayo jina uliliona kabla hawajafuta ila baada ya marekebisho hulioni.....ha ha ha...hapo itabidi uende hivyo hivyo kufata barua na tangazo la awali.
Ishapandishwa au bado?Lile tangazo jioni hii litawekwa tena.. Ila lazima litaongezwa taasisi nyingine nyingi tena unaweza kuta zote za November zitakuwa ndani.. Lile pdf ni ndogo sana lazima waweke kitu kilichonona.. Wale wa HESLB & NAOT mjiandae kupokea majina yenu na Barua zenu leo
Sijui mkuu.. nipo zangu kwenye Uzi wa RikboyIshapandishwa au bado?
Nasubiri human resource management mkuuUnasubiria post ipi mkuu..?
Vijana wa hovyooSijui mkuu.. nipo zangu kwenye Uzi wa Rikboy
Kumbe na wewe unajua Uzi wa rikboy😂😂Vijana wa hovyoo
Nlielekezwa hapa hapa, kijana wa hovyo alienielekeza ndo simkumbuki mpaka nirud huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe na wewe unajua Uzi wa rikboy[emoji23][emoji23]
Na wewe ushatupia kaushuhuda huko?[emoji3]Nlielekezwa hapa hapa, kijana wa hovyo alienielekeza ndo simkumbuki mpaka nirud huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi mimi[emoji23][emoji23][emoji23], shuhuda ndo sina ata za majirani sina[emoji3062]Na wewe ushatupia kaushuhuda huko?[emoji3]
Hahaaa hii JF ni kubwa sana, ina mitaa mingi sana. Wakati sisi hapa tunajadili kuhusu jinsi ya kupata kazi, Kuna wengine wanajadili mambo ambayo hata kusoma tu naogopa😂😂Nlielekezwa hapa hapa, kijana wa hovyo alienielekeza ndo simkumbuki mpaka nirud huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera dada angu😂😂Siwezi mimi[emoji23][emoji23][emoji23], shuhuda ndo sina ata za majirani sina[emoji3062]
Ushawahi kuliwa kimasihara dada maria juan?Nlielekezwa hapa hapa, kijana wa hovyo alienielekeza ndo simkumbuki mpaka nirud huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hayaSiwezi mimi[emoji23][emoji23][emoji23], shuhuda ndo sina ata za majirani sina[emoji3062]
Kule twitter siku hizi kuna nyuzi zinaitwa "Watoto wamelala thread" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kazi kweli kweliHahaaa hii JF ni kubwa sana, ina mitaa mingi sana. Wakati sisi hapa tunajadili kuhusu jinsi ya kupata kazi, Kuna wengine wanajadili mambo ambayo hata kusoma tu naogopa[emoji23][emoji23]
Huwa nazikimbia sana sizitaki aiseee 🤣Kule twitter siku hizi kuna nyuzi zinaitwa "Watoto wamelala thread" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kazi kweli kweli
😂😂😂 naifahamu iyo mkuuKule twitter siku hizi kuna nyuzi zinaitwa "Watoto wamelala thread" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kazi kweli kweli