Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oohoo hapo utapoteza nauli yako yani ni bora ukawapigia simu kwanza maana kunajamaa angu waliitwa kuchukua barua kwenye post iliyohitaji watu watatu ila kwenye list ya placement waliongezwa na yeye alikua mmojawapo ya walioongezwa kwenye list, alipofika akaambiwa ni makosa yalijitokeza post ilihitaji watatu tu walioongezwa hawana barua
Duh noma sana hiyo
 
Hapo kama ni mimi nawafungulia kesi mahakamani na kazi/barua watanipa
 
Kwahiyo wanaweza kufuata barua? Isije ikawa wameanza kuipika mpya hiyo pdf
Lile tangazo jioni hii litawekwa tena.. Ila lazima litaongezwa taasisi nyingine nyingi tena unaweza kuta zote za November zitakuwa ndani.. Lile pdf ni ndogo sana lazima waweke kitu kilichonona.. Wale wa HESLB & NAOT mjiandae kupokea majina yenu na Barua zenu leo
 
Najaribu kuwaza incidence ambayo jina uliliona kabla hawajafuta ila baada ya marekebisho hulioni.....ha ha ha...hapo itabidi uende hivyo hivyo kufata barua na tangazo la awali.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]lazima pachimbike hapo
 
Lile tangazo jioni hii litawekwa tena.. Ila lazima litaongezwa taasisi nyingine nyingi tena unaweza kuta zote za November zitakuwa ndani.. Lile pdf ni ndogo sana lazima waweke kitu kilichonona.. Wale wa HESLB & NAOT mjiandae kupokea majina yenu na Barua zenu leo
Ishapandishwa au bado?
 
Nlielekezwa hapa hapa, kijana wa hovyo alienielekeza ndo simkumbuki mpaka nirud huko juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa hii JF ni kubwa sana, ina mitaa mingi sana. Wakati sisi hapa tunajadili kuhusu jinsi ya kupata kazi, Kuna wengine wanajadili mambo ambayo hata kusoma tu naogopa😂😂
 
Back
Top Bottom