Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Duh noma sana hiyoOohoo hapo utapoteza nauli yako yani ni bora ukawapigia simu kwanza maana kunajamaa angu waliitwa kuchukua barua kwenye post iliyohitaji watu watatu ila kwenye list ya placement waliongezwa na yeye alikua mmojawapo ya walioongezwa kwenye list, alipofika akaambiwa ni makosa yalijitokeza post ilihitaji watatu tu walioongezwa hawana barua