Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamani niliomba kazi Utumishi lakini silioni jina langu kwenye orodha ya walioitwa kufanya usaili, ni utaratibu gani niufuate ili jina langu liwe miongoni mwa majina ya nyongeza?
 
Address yako uliweka wapi?
Je kabla ya deadline ya kuomba kazi, taarifa na attachment zako zote zilikuwa sahihi???
Kwasababu kuna jamaa yangu na yeye hakuliona jina kumbe alisahau kuwa alianza kuaply bdae ndio akacertify cheti, So kabla ya kupewa reason ya kutokuwa shortlisted kwenye web amejua nn alikokosea.
So km hujakosea watafute kwenye contact zao.
 
Kwa mfano ikitokea ni issue ya passport size ikawepo lakini sababu ikawa hivyo kuna uwezekano wa kuweka na kufuatilia juu ya kuomba niwe miongoni mwa nyongeza ya majina? Nasema hivi kwasababu kuna interview moja niliandikiwa hivo chakushangaza interview zilikuwa kada tofauti, moja nikaandikiwa (passport size not uploaded) nyingine nikachaguliwa, sasa hapo ndio sielewi nifantejw endapo ikitokea ivo
 
Kwani hakuna uwezekano wa kwenda kusaidiwa nikienda ofisi zao za hapa DAr? Maana nipo Dar hapa hapa
 
Unawapigia tu bila tatizo tena bahati nzuri upo Dar es Salaam unaweza pia kwenda kwenye ofisi zai hapo dar es salaam watakuweka kwenye majina ya nyongeza. But make sure hausemi sababu ya uongo maana ukiwadanganya wakagundua ni uongo hauwezi kuwekwa kwenye majina ya nyongeza. All the best.
 
Shukrani sana Kesho naenda
 
Habari za Leo wadau,vipi hakuna placements Leo za kuanza wiki...

Maana naona kama michakato ya Mwaka Jana ndio inaenda kuishia.
 
NAOMBENI KUULIZA IKITOKEA CASE MAJINA YANATOFAUTIANA KWENYE CHETI KIMOJA


AVIFIDAVIT WANA RUHUSU UINGIE NAYO KWENYE USAILI AU MPAKA DEAD POLL ?


NA KAMA AFIDAVIT WANARUHUSU PIA JE KAMA UNAYO YA MWAKA JANA INAKUBALIKA ? YANI BADO INATUMIKA
 
NAOMBENI KUULIZA IKITOKEA CASE MAJINA YANATOFAUTIANA KWENYE CHETI KIMOJA


AVIFIDAVIT WANA RUHUSU UINGIE NAYO KWENYE USAILI AU MPAKA DEAD POLL ?


NA KAMA AFIDAVIT WANARUHUSU PIA JE KAMA UNAYO YA MWAKA JANA INAKUBALIKA ? YANI BADO INATUMIKA
Inakubalika cha msingi usikose affirdavity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…