ABIUD SIMTALLA
Member
- Oct 4, 2022
- 59
- 199
Jamani niliomba kazi Utumishi lakini silioni jina langu kwenye orodha ya walioitwa kufanya usaili, ni utaratibu gani niufuate ili jina langu liwe miongoni mwa majina ya nyongeza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Address yako uliweka wapi?Jamani niliomba kazi Utumishi lakini silioni jina langu kwenye orodha ya walioitwa kufanya usaili, ni utaratibu gani niufuate ili jina langu liwe miongoni mwa majina ya nyongeza?
Angalia kwenye account yako ya ajira portal uone sababu ya kutoitwa?Kigamboni Dar es salaam
Je kabla ya deadline ya kuomba kazi, taarifa na attachment zako zote zilikuwa sahihi???Address yako uliweka wapi?
Pole mkuu, hapo washakuchinjia baharini.. Wait ifike saa 6 usiku utaona wameweka sababuBado hakuna kitu imeandika Received
Je kabla ya deadline ya kuomba kazi, taarifa na attachment zako zote zilikuwa sahihi???
Kwasababu kuna jamaa yangu na yeye hakuliona jina kumbe alisahau kuwa alianza kuaply bdae ndio akacertify cheti, So kabla ya kupewa reason ya kutokuwa shortlisted kwenye web amejua nn alikokosea.
So km hujakosea watafute kwenye contact zao.
Wapigie simu uwaulize kwann jina lako halipo?Jamani niliomba kazi Utumishi lakini silioni jina langu kwenye orodha ya walioitwa kufanya usaili, ni utaratibu gani niufuate ili jina langu liwe miongoni mwa majina ya nyongeza?
Unawapigia tu bila tatizo tena bahati nzuri upo Dar es Salaam unaweza pia kwenda kwenye ofisi zai hapo dar es salaam watakuweka kwenye majina ya nyongeza. But make sure hausemi sababu ya uongo maana ukiwadanganya wakagundua ni uongo hauwezi kuwekwa kwenye majina ya nyongeza. All the best.Kwa mfano ikitokea ni issue ya passport size ikawepo lakini sababu ikawa hivyo kuna uwezekano wa kuweka na kufuatilia juu ya kuomba niwe miongoni mwa nyongeza ya majina? Nasema hivi kwasababu kuna interview moja niliandikiwa hivo chakushangaza interview zilikuwa kada tofauti, moja nikaandikiwa (passport size not uploaded) nyingine nikachaguliwa, sasa hapo ndio sielewi nifantejw endapo ikitokea ivo
Shukrani sana Kesho naendaUnawapigia tu bila tatizo tena bahati nzuri upo Dar es Salaam unaweza pia kwenda kwenye ofisi zai hapo dar es salaam watakuweka kwenye majina ya nyongeza. But make sure hausemi sababu ya uongo maana ukiwadanganya wakagundua ni uongo hauwezi kuwekwa kwenye majina ya nyongeza. All the best.
Fanya haraka ili upate mrejesho kamili mapema na ujiandae na maandalizi ya usaili, all the best.Shukrani sana Kesho naenda
Nawatakieni maandalizi memaKumekucha, new week tukiwa na agenda kibao hapa mezani, agenda ya MDAs & LGAs ikiwa imeshika headlines. Kila la kheri mnaojiandaa.
Wachochea kuni placements zitoke, kazi iendelee
Wametoa ya usaili pengine placement zipo njianiHabari za Leo wadau,vipi hakuna placements Leo za kuanza wiki...
Maana naona kama michakato ya Mwaka Jana ndio inaenda kuishia.
Inakubalika cha msingi usikose affirdavityNAOMBENI KUULIZA IKITOKEA CASE MAJINA YANATOFAUTIANA KWENYE CHETI KIMOJA
AVIFIDAVIT WANA RUHUSU UINGIE NAYO KWENYE USAILI AU MPAKA DEAD POLL ?
NA KAMA AFIDAVIT WANARUHUSU PIA JE KAMA UNAYO YA MWAKA JANA INAKUBALIKA ? YANI BADO INATUMIKA