Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah had nimelia,hongera sana mwifa,am so so sooo happy for u. Wewe ni ushuhuda unaoishi,Mungu akutangulie dear kwenye majukum yako mapya.
Ila usitutelekeze hum jaman,we still need u[emoji3]
Ahsante sana, Mungu ni mwema.

Humu siondoki ishakuwa sebuleni kwangu, hata majukumu yatakapopamba moto sitaweza kukosa dk 10 za kuja kusalimia humu
 
Kaka hongera sana hongera sana hongera sana wakati wa Mungu ni wakati sahihi Mungu alikuandalia mahali panapokufaa.

Tuombee na sisi siku moja tutoe ushuhuda kama huu.
 
Hongera sana mwifa ikawe kheri kwako....
 
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema, huu ushindi ni wetu sote. Tuendelee kupambana kwa kupeana miongozo kama kawaida yetu humu
 
Nami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.
Hongera mungu anajua kipi ni bora kwako nenda naot pia ni kuzuri tu hasa ukiwa mkaguzi wa hesabu misafari kibao
 
Hongera saana kaka Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya
Endelea kutuombea na wengine naona kwa upande wa NAOT ridhiki imenipita kushoto
Ahsante sana mkuu, pia pole sana, nafasi yako ipo ila inaonekana bado, kuwa na subira.

Mimi sahili nilizokandwa ndizo nilizozizimikia zaidi ya hii ila hii ndio nimetoboa, kwa hiyo nafasi yako ipo, ni suala la muda tu.

Nimekumbuka kauli ya Luka Modric kwenye Champion League 2022 waliposhinda kwenye mtoano kwa Aggregate dhidi ya Chelsea. Alisema TO GIVE UP IS NOT AN OPPTION.

Inaweza kufikia hatua ukakataa tamaa kama mimi kwenye hii nafasi ya NAOT ila haipaswi kuwa hivyo, inabidi upush agenda hadi kieleweke.

Kwa hiyo tuendelee kupambana hadi kieleweke
 
Hongera sana mkuu, wakati wa Mungu ndo wakati sahihi.

Naomba mrejesho, oral mlikua wangapi na nafasi zilikua ngapi?
 
Hongera binafsi nimeajiriwa nikiwa na miaka 18 tu na serikali ya JMT! ka degree nimekapatia mjengoni
Ahsante sana mkuu. Muda ndio huwa unadetermine mambo, kwa sasa hilo haliwezekani ukizingatia mfumo wa ajira tuliorisishwa na Mzee wa Chattle pia unapigilia msumari.

Binafsi nipo kwenye early 30, mfumo usingetikiswa ningeingia kwenye mrija nikiwa kwenye late 20.

This is all about God's plan, tunapaswa kushukuru pia
 
Pole sana mkuu
 
Nami Mungu ameniona NAOT nilimaliza chuo tangu 2016,nilikuwa na oral moja tu hiyo zote sifiki oral ya juzi tra ndo niliumia zaidi ,kumbe Mungu bado mwema na mwaminifu,Ni maombi yangu Mungu awakumbuke nanyi pia.

Hongera sana ndugu,

Ukawe mtumishi mwenye maadili katika majukumu yako.

NB: Kumbuka kutoa Shukurani na kujipongeza kwa ushindi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…