Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Status yangu hiyo. Nilipiga oral December, nasubiria muujiza.
 

Ni kweli mm pia nilienda kufanya written ya mhandisi wa maji daraja la pili(NAOT) isivyo bahati sikufanikiwa kufika kwenye oral marks hazikutosha.

Ila nilikuwa najiuliza sana hivi yani mwajiri ni ofisi ya mkaguzi wa serikali nilikuwa natarajia wangehitajika watu wa kada hizo hususani watu wa uchumi lakini posts naona zilikuwa nyingi za kada mbalimbali yani nikawa nashindwa kupata majibu kumbe Auditing ni li package kubwa sana aisee.
 
Na uje Kunduchi uchukue saa ya kiofisi ofisi ata kama hutumiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hahahahahaa, nitakuja hasa K/koo, imebaki suala la timing tu
 
Hapa sasa ndio umemaliza na kukata mzizi wa fitina.

Ahsante kwa muongozo mkuu
 
Upande wa Afya, mojawapo ya muongozo wa Auditing ndio huu.
 
Hapa sasa ndio umemaliza na kukata mzizi wa fitina.

Ahsante kwa muongozo mkuu
-Yeah hebu chukua mfano rahisi unataka kujua ufanisi wa Machine ya MRI,CT SCAN, ukiwa umesomea Accounting utaweza kujua ufanisi wa hizo machine? Hapo automatically atahitajika Biomedical engineer ndio ataweza kujua efficiency ya hizo machine
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]na shoo jana ukapewa yakibabe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…