Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Shukrani mkuu, itakuwa huu muongozo utakuwa upo wa kila kada sio?
Miongozo lazima iwepo.

Kwenye Auditing miongozo ndio nguzo mama.

Ukitaka kuandaa Auditing plan lazima ufuate muongozo, uanzie wapi uishie wapi huku ukigusa content zote zinazohitajika.
 
Kada nyingine other than Accounting and finance,wanahusika zaidi na VALUE FOR MONEY AUDIT ,kwa mfano Mkaguzi anakagua ubora wa miradi ya ujenzi(Construction projects),hapo itabidi Auditor(Accountant) afanye kazi yake upande wa financials za mambo mbalimbali ya ujenzi kama uhalisia wa gharama za manunuzi ya vifaa,utoaji wa tenda n.k ambapo report yake ataikamilisha kwa kupata technical input ya report ya Engineer/Quantity Surveyor kuhusu kama jengo limejengwa kufuatana na BOQ(Bill of Quantities) ambayo ilikuwa base ya costing ya mradi,pamoja na parameters zingine za ubora wa jengo
 
Hongera sana kwa hatua hiyo. ya kupata ajira.kipekee,nikupongeze kwa kuwatia moyo vijana wenzio kuwa wasichoke kupambana na kuwa-inspire kuwa wakati wa Bwana ukifika kila mtu atapata nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…