Sawa, Muumba ana jambo lake hapo, tuendelee kuchochea maombiYes bado kaka, naisubir mguu mmoja ndan mwingine nje[emoji23]
Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyoHongera sana kwa hatua hiyo. ya kupata ajira.kipekee,nikupongeze kwa kuwatia moyo vijana wenzio kuwa wasichoke kupambana na kuwa-inspire kuwa wakati wa Bwana ukifika kila mtu atapata nafasi
Eeh ahsante sana msomi, tusubiri miujiza ya Mwenyezi Mungu[emoji3]Msomi nakuombea uwemo kwenye mkeka wa MDA& LGA
Ungekuwa Ke ningekupa chap[emoji23][emoji23][emoji23]Tangu jana naomba suti hapa, hadi sasa mumenikaushia
Amina kakaSawa, Muumba ana jambo lake hapo, tuendelee kuchochea maombi
Mungu ni mwema sana tuombeane sote tupate.Wakati wa Mungu ukifika kila kitu kitaenda sawa tu.Nakuombea boss[emoji4]
Ata mimi, uwiiii[emoji23]Leo nimeamka na uvivu sijiskii kabisa kwenda kuteseka.
Samaki watajua kuna jambo wataniacha!😂😂😂😂Usije liwa na samaki tu ama kuzama[emoji3][emoji3]
Auditor mkuuHongera, fani gani mkuu?
hahahahahahahaAta mimi, uwiiii[emoji23]
hahahaha hahahahaLeo nimeamka na uvivu sijiskii kabisa kwenda kuteseka.
ASante mkuuHongera mungu anajua kipi ni bora kwako nenda naot pia ni kuzuri tu hasa ukiwa mkaguzi wa hesabu misafari kibao
SAwa nduguHongera sana ndugu,
Ukawe mtumishi mwenye maadili katika majukumu yako.
NB: Kumbuka kutoa Shukurani na kujipongeza kwa ushindi huo.
Mkuu sina cha kuwalipeni isipokuwa ni Muumba pekee atawalipa kwa wema mliokuwa nao tangu mwanzo.
Wewe na wizy ni miongoni mwa watu mlionikalisha chini na kunikanda kwa nasaha kuhusu huu mrija wa NAOT maana nilikuwa nimeukatia tamaa. Hakika mlifanya kazi kubwa pamoja na wengine.
Tuendelee kuombeana, kutiana moyo, matumaini hadi kila mmoja wetu aweze kutimiza ndoto zake za mrija wa Asali
Afu inaonekana wanaotoboa sana wanakua waneoa au wana watoto
Naona hili swala likawa na ukweli fulaniHahahahaha! Mkuu, fanya mpango wa kuvuta jiko chap chap. Majukumu huja na baraka zake.
Amen[emoji120]Mungu ni mwema sana tuombeane sote tupate.Wakati wa Mungu ukifika kila kitu kitaenda sawa tu.
Hongera sana mkuu,umenitia moyo sana kwa ushuhuda wako nimejikuta nafurahi sana kama vile mm ndo ninepata hiyo kazi,na nimepata matumaini mapya kwamba mwaka huu nami ntatoboa, nina received moja lakini pia ntatolea macho kila advert ili received ziongezeke.Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyo
Ya tatu sikubahatika kuhudhuria nilitingwa,nimebakiwa na received moja kati ya 4 za mwaka 2022.Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyo