Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana kwa hatua hiyo. ya kupata ajira.kipekee,nikupongeze kwa kuwatia moyo vijana wenzio kuwa wasichoke kupambana na kuwa-inspire kuwa wakati wa Bwana ukifika kila mtu atapata nafasi
Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyo
 
Mkuu sina cha kuwalipeni isipokuwa ni Muumba pekee atawalipa kwa wema mliokuwa nao tangu mwanzo.

Wewe na wizy ni miongoni mwa watu mlionikalisha chini na kunikanda kwa nasaha kuhusu huu mrija wa NAOT maana nilikuwa nimeukatia tamaa. Hakika mlifanya kazi kubwa pamoja na wengine.

Tuendelee kuombeana, kutiana moyo, matumaini hadi kila mmoja wetu aweze kutimiza ndoto zake za mrija wa Asali

Asante sana Professor.

Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.
 
Vijana hasa kutoka familia za kimasikini tunalalamika hatuna connection. Hakuna kitu kinaleta amani kama unahitaji ufafanuzi wa inshu fulani, halafu unakumbuka kuna jamaa yako yupo TRA, NAOT, ORCI, IAE, TPDF etc.

Huu uzi ni kama stendi (kituo cha mabasi), watu wako hapa ili kuelekea Ofisi mbali mbali za kila aina.

Kuna watu tunawakubali na kuna watu wanatukubali, kizuri zaidi utu wa mtu au ubaya wake, ukituliza akili unaweza kujidhihirisha hata kwa ID feki.

Sasa swali ni tutafanyaje kutoka kwenye huu uzi, tutengeneze connection za kwenye maisha ya uhalisia?

Tusiishie tu kusaidiana kupata kazi, kuna maisha baada ya wote kuwa kazini.
 
Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyo
Hongera sana mkuu,umenitia moyo sana kwa ushuhuda wako nimejikuta nafurahi sana kama vile mm ndo ninepata hiyo kazi,na nimepata matumaini mapya kwamba mwaka huu nami ntatoboa, nina received moja lakini pia ntatolea macho kila advert ili received ziongezeke.

Mwaka 2022. nilikua na application 4,Tatu zimefanyiwa usaili zote nilikuwa shortlisted,katika hizo 3 nilibahatika kuhudhuria moja kwa kuwa siku naenda kufanya hiyo moja nyingije pia nilipangwa siku na muda mmoja katika ukumbi mmoja pale CIVE,nikashindwa kupiga pepa mbiki kwa mpigo zile dk 40 zao😂
Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyo
Ya tatu sikubahatika kuhudhuria nilitingwa,nimebakiwa na received moja kati ya 4 za mwaka 2022.

Wakuu tupambane mpaka kieleweke mpaka wote umu ndani tuunganishwe katika mrija wa asali wa grid ya Taifa

Huu uzi ni msaada mkubwa sana,unahamasisha,elimisha na kutia moyo sana,elimu tunayoipata umu ni tiba tosha ya kulwmba asali

Once again hongera sana mwifwa,you deserve it,na wadau wote muliobahatika kuunganishwa kwenye mrija wa asali hongereni sana sana sana,hakika mumefanya na sisi tujiamini kwamba inawezekana kutoboa
 
Back
Top Bottom