una saa za brand gani?Na uje Kunduchi uchukue saa ya kiofisi ofisi ata kama hutumiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sasa hivi Ajira zote zinapitia Utumishi.Ndugu zangu Naomba kuuliza hivi mamlaka za maji ajira zao zinatoka utumishi au mamlaka zina ajiri wao kama wao?
Aminayani namuomba sana mungu huu mwaka uwe wa mafanikio kwangu jaman
Zinapitia Utumishi,hata kama watatangaza wao wenyewe ila kibali wanakuwa wamepata kutoka Utumishi,na siku ya Usaili watu wa Utumishi lazima wawepo kusimamia mchakato.Ndugu zangu Naomba kuuliza hivi mamlaka za maji ajira zao zinatoka utumishi au mamlaka zina ajiri wao kama wao?
Engineer wa nini?amen,engineering
Natamani sote tulambe asali na iwe hivyoAhsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana anatufanya tulambe asali mmoja baada ya mwingine
Wazo zuri ngoja namimi niwe miongoni mwa watakao pata muongozoVijana hasa kutoka familia za kimasikini tunalalamika hatuna connection. Hakuna kitu kinaleta amani kama unahitaji ufafanuzi wa inshu fulani, halafu unakumbuka kuna jamaa yako yupo TRA, NAOT, ORCI, IAE, TPDF etc.
Huu uzi ni kama stendi (kituo cha mabasi), watu wako hapa ili kuelekea Ofisi mbali mbali za kila aina.
Kuna watu tunawakubali na kuna watu wanatukubali, kizuri zaidi utu wa mtu au ubaya wake, ukituliza akili unaweza kujidhihirisha hata kwa ID feki.
Sasa swali ni tutafanyaje kutoka kwenye huu uzi, tutengeneze connection za kwenye maisha ya uhalisia?
Tusiishie tu kusaidiana kupata kazi, kuna maisha baada ya wote kuwa kazini.
Hongera sana MLUMBI.Ahsante sana mkuu, tusichoke kushikana mikono japo kwa kutiana moyo
Njoo lindiBado sijapata suti ya kwenda kumtembelea Bwana Novati Mfalamagoha. wizy, Ahmet, Cvez, baraka amos, meck pro fanyeni jambo
Asante sana mkuu kwa ufafanuziZinapitia Utumishi,hata kama watatangaza wao wenyewe ila kibali wanakuwa wamepata kutoka Utumishi,na siku ya Usaili watu wa Utumishi lazima wawepo kusimamia mchakato.
Wazo zuri sanaVijana hasa kutoka familia za kimasikini tunalalamika hatuna connection. Hakuna kitu kinaleta amani kama unahitaji ufafanuzi wa inshu fulani, halafu unakumbuka kuna jamaa yako yupo TRA, NAOT, ORCI, IAE, TPDF etc.
Huu uzi ni kama stendi (kituo cha mabasi), watu wako hapa ili kuelekea Ofisi mbali mbali za kila aina.
Kuna watu tunawakubali na kuna watu wanatukubali, kizuri zaidi utu wa mtu au ubaya wake, ukituliza akili unaweza kujidhihirisha hata kwa ID feki.
Sasa swali ni tutafanyaje kutoka kwenye huu uzi, tutengeneze connection za kwenye maisha ya uhalisia?
Tusiishie tu kusaidiana kupata kazi, kuna maisha baada ya wote kuwa kazini.
Ndugu zangu Naomba kuuliza hivi mamlaka za maji ajira zao zinatoka utumishi au mamlaka zina ajiri wao kama wao?
Kada nyingine other than Accounting and finance,wanahusika zaidi na VALUE FOR MONEY AUDIT ,kwa mfano Mkaguzi anakagua ubora wa miradi ya ujenzi(Construction projects),hapo itabidi Auditor(Accountant) afanye kazi yake upande wa financials za mambo mbalimbali ya ujenzi kama uhalisia wa gharama za manunuzi ya vifaa,utoaji wa tenda n.k ambapo report yake ataikamilisha kwa kupata technical input ya report ya Engineer/Quantity Surveyor kuhusu kama jengo limejengwa kufuatana na BOQ(Bill of Quantities) ambayo ilikuwa base ya costing ya mradi,pamoja na parameters zingine za ubora wa jengo
Asante mkuu matangazo sija bahatika kuyaona kwa kada hii ya maji.. Umenipa mwangaMkuu kwa experience yangu mara nyingi nafasi huwa zinatangazwa officially utumishi ila sjawahi kuona sana matangazo ya mamlaka za maji mijini mfano DAWASA,DUWASA.. n.k
Ila RUWASA juzi tu nafasi mbalimbali zilitangazwa watu wakaomba na written plus oral wameshafanya nadhani wanasubri placements tu.
Asante mkuu matangazo sija bahatika kuyaona kwa kada hii ya maji.. Umenipa mwanga
Technicians (ufundi)Nafasi zinakuwepo ila mara chache sana mm nmeziona wakitangaza.
Na unakusudia nafasi za kada ipi kwa mamlaka ya maji mkuu? Engineers,Technicians?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungekuwa Ke ningekupa chap[emoji23][emoji23][emoji23]