Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vijana hasa kutoka familia za kimasikini tunalalamika hatuna connection. Hakuna kitu kinaleta amani kama unahitaji ufafanuzi wa inshu fulani, halafu unakumbuka kuna jamaa yako yupo TRA, NAOT, ORCI, IAE, TPDF etc.

Huu uzi ni kama stendi (kituo cha mabasi), watu wako hapa ili kuelekea Ofisi mbali mbali za kila aina.

Kuna watu tunawakubali na kuna watu wanatukubali, kizuri zaidi utu wa mtu au ubaya wake, ukituliza akili unaweza kujidhihirisha hata kwa ID feki.

Sasa swali ni tutafanyaje kutoka kwenye huu uzi, tutengeneze connection za kwenye maisha ya uhalisia?

Tusiishie tu kusaidiana kupata kazi, kuna maisha baada ya wote kuwa kazini.
Wazo zuri ngoja namimi niwe miongoni mwa watakao pata muongozo
 
Wazo zuri sana
 
Ndugu zangu Naomba kuuliza hivi mamlaka za maji ajira zao zinatoka utumishi au mamlaka zina ajiri wao kama wao?

Mkuu kwa experience yangu mara nyingi nafasi huwa zinatangazwa officially utumishi ila sjawahi kuona sana matangazo ya mamlaka za maji mijini mfano DAWASA,DUWASA.. n.k

Ila RUWASA juzi tu nafasi mbalimbali zilitangazwa watu wakaomba na written plus oral wameshafanya nadhani wanasubri placements tu.
 
Kada nyingine other than Accounting and finance,wanahusika zaidi na VALUE FOR MONEY AUDIT ,kwa mfano Mkaguzi anakagua ubora wa miradi ya ujenzi(Construction projects),hapo itabidi Auditor(Accountant) afanye kazi yake upande wa financials za mambo mbalimbali ya ujenzi kama uhalisia wa gharama za manunuzi ya vifaa,utoaji wa tenda n.k ambapo report yake ataikamilisha kwa kupata technical input ya report ya Engineer/Quantity Surveyor kuhusu kama jengo limejengwa kufuatana na BOQ(Bill of Quantities) ambayo ilikuwa base ya costing ya mradi,pamoja na parameters zingine za ubora wa jengo

Shukran mkuu kwa ufafanuzi mzuri nilikuwa sjui hili yani
 
Mkuu kwa experience yangu mara nyingi nafasi huwa zinatangazwa officially utumishi ila sjawahi kuona sana matangazo ya mamlaka za maji mijini mfano DAWASA,DUWASA.. n.k

Ila RUWASA juzi tu nafasi mbalimbali zilitangazwa watu wakaomba na written plus oral wameshafanya nadhani wanasubri placements tu.
Asante mkuu matangazo sija bahatika kuyaona kwa kada hii ya maji.. Umenipa mwanga
 
Back
Top Bottom