Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Umeongea jambo la maana kabisa mkuu. Hili linawezekana kabisa
 
Ahsante sana mkuu.

Mapambano yaendelee.
 
Hongera sana MLUMBI.

Kutokana na mafanikio yako, Jumuiya imefurahi.

Namimi Nimefurahi.

Bila shaka maandalizi ya kuyeyuka huku ukiweweseka kiwendawazimu kuelekea Dodoma kuitwaa ile barua murua na bojobojo yanaendalea vema.
Hahahahaaa.

Novati Mfalamagoha ananisubiri kwa hamu huko kwenye mitaa yake ya Tambukareli
 
Kabisa mkuu[emoji1431]
 
Daaah siku online hizi siku 2,naingia website naona placement za NAOT nimekuja mbio huku japo nna muda finyu kuja kuuliza taarifa zako,aisee nimekutana na habari njema sana mwifwa..umeupiga mwingi broo and and am happy for you..Sina shaka kwamba utakua mtumishi mwema kabisa.once again hongera mkuuu umeufikia mrija
 
Kijana kweli uko bize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…