ABIUD SIMTALLA
Member
- Oct 4, 2022
- 59
- 199
Pole mkuu usikate tamaa nafasi Yako IPO inakujaMi naugulia tu maumivu huku, LGA's and MDA's wamegoma kuniita interview kigezo eti sijaweka picha wakati interview zaidi ya 10 nimeitwa interview na sijawahi badili picha hata siku moja. Nimekosa kazi ya security officer II utadhani ndio imenipa mikosi😭😭😭
unamdharau mtu usiyemjua,yani inakera sana huwa sitakagi kuwajibugi watu wa aina ile hata kama hakinihusu,ila kwa mwana hapo juu nimechefukwa sanaDaaah! Hii lunch naomba unitunzie.
Tukirudi kwenye mada watu wanajisahau sana yaani kumdharau mwenzio hivi hivi tuu na ukaona ni sawa ujue hapo upstairs kuna bunch of farts.
Hello, pole sana, wapigie simu wafanye review ama kama upo karibu nenda kwenye office zaoMi naugulia tu maumivu huku, LGA's and MDA's wamegoma kuniita interview kigezo eti sijaweka picha wakati interview zaidi ya 10 nimeitwa interview na sijawahi badili picha hata siku moja. Nimekosa kazi ya security officer II utadhani ndio imenipa mikosi[emoji24][emoji24][emoji24]
Tumsamehe bure.unamdharau mtu usiyemjua,yani inakera sana huwa sitakagi kuwajibugi watu wa aina ile hata kama hakinihusu,ila kwa mwana hapo juu nimechefukwa sana
Pole sana mkuu, suala la kuwatafuta ili wakuweke kwenye majina ya nyongeza, limegonga mwamba?Mi naugulia tu maumivu huku, LGA's and MDA's wamegoma kuniita interview kigezo eti sijaweka picha wakati interview zaidi ya 10 nimeitwa interview na sijawahi badili picha hata siku moja. Nimekosa kazi ya security officer II utadhani ndio imenipa mikosi[emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna muda unaweza kuhisi shida/matatizo/makosa ni yako pekee, tena pale unapojaribu kutafuta suluhu ila inashindikana.PSRS kama nimewakosea mnisamehe
Nimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sanaHello, pole sana, wapigie simu wafanye review ama kama upo karibu nenda kwenye office zao
Nimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sanaHello, pole sana, wapigie simu wafanye review ama kama upo karibu nenda kwenye office zao
Nabado anakandwa na written Tu Yan 😂Vyeti ivo mbwembwe tuu muhimu ni ajira tuu
Ndio mkuu limegonga mwamba imebidi nirudishe majeshi nyuma tuPole sana mkuu, suala la kuwatafuta ili wakuweke kwenye majina ya nyongeza, limegonga mwamba?
Kwa nn wkujibu kwa dharau kebehi ilihali ni haki yako kuhudumiwa in a polite way its not fair....pole san kiongoziNimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sana
Wafuate tena na uwombe mrejesho wa email.Nimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sana
Nifanyeje hapo kama kuna njia nyingine naomba ushauri maana interview jumapili.Wafuate tena na uwombe mrejesho wa email.
Kama umemkuta mtu mwingine, hilo ndio limetoa kwenye shortlist ambapo zamani uliitwa ila sasa aliposhortlist mwingine ndio akakuzingua.
Ipambanie hii nafasi mkuu usikate tamaa na hivyo vikwazo
Wa-Cuba tunaelewa tuu..Kuna nyuzi ngingi za hovyo sana, Kuna ile ya picha za warembo duniani[emoji1787][emoji1787] ingawa Mimi napita tu hata siingii
Option ni kuwafuata kesho na kwenda kuwakaziaNifanyeje hapo kama kuna njia nyingine naomba ushauri maana interview jumapili.
Asante sana mkuuOption ni kuwafuata kesho na kwenda kuwakazia
dah pole sana, roho imeniuma mnooooNimeenda ofisini kwao siku ya kwanza niliambiwa niwaambie emails yangu nikafanya ivyo nikaambiwa nitajibiwa kwa Email lakini ikawa kimya, baada ya siku kadhaa nikaenda nikamkuta mwingine nilichokutana nacho ni dharau na majibu ya kebehi leo wametoa majina ya nyongeza lakini jina langu halipo. Nimateso sana afu ni sehem niliyotegemea sana