ABIUD SIMTALLA
Member
- Oct 4, 2022
- 59
- 199
Mi naugulia tu maumivu huku, LGA's and MDA's wamegoma kuniita interview kigezo eti sijaweka picha wakati interview zaidi ya 10 nimeitwa interview na sijawahi badili picha hata siku moja. Nimekosa kazi ya security officer II utadhani ndio imenipa mikosiðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜