unakubali tuu coz tumekutana ukubwani kila mtu na tabia yake +stress za ajira tulizonazo zinatumix tusamehe tuuIla humu ukisema ndugu yangu kafanya interview unaambiwa ni wewe mwenyewe useme ukweli jamani na unashambuliwa kinomanoma
Ngoja nipunguze jamHahahaaa, wewe una barua mkononi, waachie wengine wapambanie kombe
Kesho awasiliane nao aeleze hilo tatizo lake, watamtatulia. Pia awepo Dar tayari kwa pepaWakuu naombeni msaada wa mawazo hapa, katika haya majina yaliyoitwa mwenye usahili j.mosi kuna jamaa yangu ameitwa na anapaswa kwenda kufanyia interview UDSM
Sasa changamoto inakuja ni hadi saizi hajawekewa namba ya usahili kwenye account yake, wengine wamewekewa ila yeye kila akicheki Hola
Sasa swali, je asipowekewa namba na ilhali ameitwa anapaswa kufanya nini? Je anaweza kwenda eneo la tukio siku ya usahili pasipokuwa na namba? Na je akifika afanye nini kabla ya kuingia kwenye interview?
Natanguliza Shukrani.
Awasiliane nao kupitia njia ipi mkuu maana wale jamaa ile namba yao ya customer care ni kama ya urembo tuKesho awasiliane nao aeleze hilo tatizo lake, watamtatulia. Pia awepo Dar tayari kwa pepa
Zile namba za malalamiko wanapokea ukipiga....hasa mida ya asubuhi.Awasiliane nao kupitia njia ipi mkuu maana wale jamaa ile namba yao ya customer care ni kama ya urembo tu
Ajitahidi kesho aende kwenye office zao, ikishindikana na kwenye paper aende mapema aeleze tatizo lake kwa msimamizi mkuuAwasiliane nao kupitia njia ipi mkuu maana wale jamaa ile namba yao ya customer care ni kama ya urembo tu
Sawa Mkuu, shukraniZile namba za malalamiko wanapokea ukipiga....hasa mida ya asubuhi.
Sawa Mkuu, shukraniAjitahidi kesho aende kwenye office zao, ikishindikana na kwenye paper aende mapema aeleze tatizo lake kwa msimamizi mkuu
Ajitahidi kesho aende kwenye office zao, ikishindikana na kwenye paper aende mapema aeleze tatizo lake kwa msimamizi mkuu
Daah sema hii inauma haya matatizo wangetafuta urahisi wa kuyasolveAkishindwa kumaliza tatizo mapema siku ya usaili atakwenda kupoteza muda na gharama tu.
Basi aende ofisini kwaoAwasiliane nao kupitia njia ipi mkuu maana wale jamaa ile namba yao ya customer care ni kama ya urembo tu
Thanks nimefarijika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ooh pole lov
Mkuu upo,umekuwa adimu sana,au una maandalizi ya Usaili Mwingine...Wadau,, hakuna kaplacement Leo..?
Nipo mkuu, Sina Maandalizi na pepa ingawa Niko na Reveceid 1..Mkuu upo,umekuwa adimu sana,au una maandalizi ya Usaili Mwingine...
Kaka Mungu ni mwema,tuendelee kusubiri hizo placements kama utakuwa Wakati wetu Tutapata.Mungu hawezi kutuacha.Ni
Po mkuu, Sina Maandalizi na pepa ingawa Niko na Reveceid 1..
Nasubiria placements tu hapa.. maana Kila jioni/usiku lazima niingie kwenye Ile web yetu pendwa Ile maana wanapenda kupandisha placements Usiku
Kama una Usaili we kapige mkuu, hata me nikiitwa hii received soon lazima niende maana ni taasisi nzuri sanaKaka Mungu ni mwema,tuendelee kusubiri hizo placements kama utakuwa Wakati wetu Tutapata.Mungu hawezi kutuacha.
Kwa kuwa placement Bado hawajatoa ngoja nikapambane na usaili Mwingine nilioitwa.
Taasisi ni taasisi tu mkuu kikubwa mrija, mengine utajiongeza hata kwa biashara etcKama una Usaili we kapige mkuu, hata me nikiitwa hii received soon lazima niende maana ni taasisi nzuri sana