Wakuu naombeni msaada wa mawazo hapa, katika haya majina yaliyoitwa mwenye usahili j.mosi kuna jamaa yangu ameitwa na anapaswa kwenda kufanyia interview UDSM
Sasa changamoto inakuja ni hadi saizi hajawekewa namba ya usahili kwenye account yake, wengine wamewekewa ila yeye kila akicheki Hola
Sasa swali, je asipowekewa namba na ilhali ameitwa anapaswa kufanya nini? Je anaweza kwenda eneo la tukio siku ya usahili pasipokuwa na namba? Na je akifika afanye nini kabla ya kuingia kwenye interview?
Natanguliza Shukrani.