Achana na comments zako, kuna comments za watu wengine huko juu ukizisoma utanielewa nlichomaanisha.Paper ina maswali manne, yenye marks sawa, swali linalojadiliwa hapa lenye changamoto ni moja tu, mtu anakatishwaje tamaa hapo, au anaathirika vipi na kuvuka hatua inayofuata.
Kingine cha kukitambua hapa, inawezekana kabisa kuna watu wako katika huu mjadala wakiwa wameandika tofauti na wanachokitetea hapa. Hizi challange tunajadili kuelimishana kwa faida ya sahili nyingine ndani au nje ya utumishi.
Prove that bees are human best friendBasi na wale Maafisa nyuki leteni maswali yenu hapa kjadili.. mbona tunawaona wahasibu tu
Kaka nasitisha mjadala, tutulie mkisubiri majibu. Hope wamewaambia mpaka lini yatakua yametoka.Kaka tangu jana nilikwambia unazozitaja ni Components ameandika vizuri sana
Then chini pale ameainisha elements kwenye kila component kwa mfano kaanza na elements za Income statement kazitaja Asset, Liability na Equity
Mimi reference zangu zote tangu jana kwenye IFAC na leo kwenye NBAA wanaenda wanazimention bila kupepesa
Wewe references zako lazima uje ulete opinions zako na kujenga hoja na kufanya tafsiri na sio kwamba kimeandikwa moja kwa moja
Sasa hapa nionyeshe wapi wamenandika elements ni hizo?
Maana kwenye neno elements wamekuja kuziainisha chini huko za income statement
Financial statement haiwezekani iwe INCOME STATEMENT tu, ukisema FS ni lazima ujue unajumuisha hizo elements 5 kwa pamoja.Sasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?
Zile hesabu za set za form two ukiziaply hapa unapata jibu
Ningeambiwa niandike element za Income statement ambayo ni one of financial statement ningeandika Expense na Income (Revenue) ..
Ila kwa kua tumeambiwa tuandike element za Financial statement zaidi ya moja ndo naongeza na za financial position ambazo ni assets, liability, Equity
Kazi mnayo na nyie.Trade officer ii
1. Liquor law license restrictions
2.Advantages of Selling on Credit
3.Factor to consider before price of produce
4. Short Notes
Production
Utility
Trade
Opportunity cost
Ambazo ni revenue, asset, Liabilities,Equity na Expenses si ndio?Financial statement haiwezekani iwe INCOME STATEMENT tu, ukisema FS ni lazima ujue unajumuisha hizo elements 5 kwa pamoja.
Mfano GARI ili liwe gari lazima kuwe na Chasis, engine, Siti, nk nk, huwezi sema hili gari kwa kuonesha Engine tu. Hivyo FS ni sets za elements zake 5 kwa pamoja.
Swali zuri sana, elements of income statement niSidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.
Labda nikuulize,what if swali lingekutaka uandike elements za income statement au elements of financial position,ungeandika zipi?
Me nadhani huyo jamaa yuko sahihi kabisa.
Accounts Officer II haiitaji kuwa CPA-T. Ni bachelor tu.Bongo nyoso kweli unaweza kuwa CPA T na Bado usijue accounting duuh
Mkuu naamini ulifanya kila swali, na kumaliza ndani ya muda, kumaliza paper kwa kufanya maswali yote ni hatua ya kwanza muhim, mengine tuachie wasahihishaji, maana nao ni binadam, halafu, tukumbuke kama muda umefika, kila kitu kinakuja katika njia yako mpaka unashangaa.Ambazo ni revenue, asset, Liabilities,Equity na Expenses si ndio?
HAPANA hizo ni parts zinazounda elements kuu 5 na haziko 5 zinafika 10+ huko.Ambazo ni revenue, asset, Liabilities,Equity na Expenses si ndio?
Acha matango pori mzee baba. INCOME STATEMENT iko na only 3 elementsSwali zuri sana, elements of income statement ni
Revenue
Cost of sales
Administration expenses
Selling & Distribution cost
Finance costs
Investment income
Tax expenses
If that the case, elements za financial statements ndio hizo elements za income statement, balance sheet etc?Swali zuri sana, elements of income statement ni
Revenue
Cost of sales
Administration expenses
Selling & Distribution cost
Finance costs
Investment income
Tax expenses
Elements n zipi sasa jmn? [emoji16]Hizi ni components mkuu ..
Inatakiwa kuwa makini sana
Mambo n mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka tarehe ya majibu ifike na mm majibu niliyojaza yatakuwa yametwa tu na mtu km majibu ya hilo swali[emoji16]Mkando unaanzia hapa
Jibu ni
1. Revenue
2. Expenses
3. Assets
4. Equity
5. Liabilities
Nimewaletea pdf kutoka IFAC ya IFRS umeshindwa kuisomaFinancial statement haiwezekani iwe INCOME STATEMENT tu, ukisema FS ni lazima ujue unajumuisha hizo elements 5 kwa pamoja.
Mfano GARI ili liwe gari lazima kuwe na Chasis, engine, Siti, nk nk, huwezi sema hili gari kwa kuonesha Engine tu. Hivyo FS ni sets za elements zake 5 kwa pamoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo n mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka tarehe ya majibu ifike na mm majibu niliyojaza yatakuwa yametwa tu na mtu km majibu ya hilo swali[emoji16]
Tuufunge huu mjadala, nimetoa maelezo hapo juu kwa kina. UMEPATA, UMEPATA, UMEPATA.Nimewaletea pdf kutoka IFAC ya IFRS umeshindwa kuisoma
Hii hapa sasa screenshot kutoka NBAA ambako najua swali ndo wakolitoa View attachment 2481901