Achana na comments zako, kuna comments za watu wengine huko juu ukizisoma utanielewa nlichomaanisha.Paper ina maswali manne, yenye marks sawa, swali linalojadiliwa hapa lenye changamoto ni moja tu, mtu anakatishwaje tamaa hapo, au anaathirika vipi na kuvuka hatua inayofuata.
Kingine cha kukitambua hapa, inawezekana kabisa kuna watu wako katika huu mjadala wakiwa wameandika tofauti na wanachokitetea hapa. Hizi challange tunajadili kuelimishana kwa faida ya sahili nyingine ndani au nje ya utumishi.