Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Paper ina maswali manne, yenye marks sawa, swali linalojadiliwa hapa lenye changamoto ni moja tu, mtu anakatishwaje tamaa hapo, au anaathirika vipi na kuvuka hatua inayofuata.

Kingine cha kukitambua hapa, inawezekana kabisa kuna watu wako katika huu mjadala wakiwa wameandika tofauti na wanachokitetea hapa. Hizi challange tunajadili kuelimishana kwa faida ya sahili nyingine ndani au nje ya utumishi.
Achana na comments zako, kuna comments za watu wengine huko juu ukizisoma utanielewa nlichomaanisha.
 
Kaka tangu jana nilikwambia unazozitaja ni Components ameandika vizuri sana

Then chini pale ameainisha elements kwenye kila component kwa mfano kaanza na elements za Income statement kazitaja Asset, Liability na Equity

Mimi reference zangu zote tangu jana kwenye IFAC na leo kwenye NBAA wanaenda wanazimention bila kupepesa

Wewe references zako lazima uje ulete opinions zako na kujenga hoja na kufanya tafsiri na sio kwamba kimeandikwa moja kwa moja

Sasa hapa nionyeshe wapi wamenandika elements ni hizo?

Maana kwenye neno elements wamekuja kuziainisha chini huko za income statement
Kaka nasitisha mjadala, tutulie mkisubiri majibu. Hope wamewaambia mpaka lini yatakua yametoka.
 
Sasa mkuu Income statement si ni Financial statement ikiwa moja?

Zile hesabu za set za form two ukiziaply hapa unapata jibu

Ningeambiwa niandike element za Income statement ambayo ni one of financial statement ningeandika Expense na Income (Revenue) ..

Ila kwa kua tumeambiwa tuandike element za Financial statement zaidi ya moja ndo naongeza na za financial position ambazo ni assets, liability, Equity
Financial statement haiwezekani iwe INCOME STATEMENT tu, ukisema FS ni lazima ujue unajumuisha hizo elements 5 kwa pamoja.
Mfano GARI ili liwe gari lazima kuwe na Chasis, engine, Siti, nk nk, huwezi sema hili gari kwa kuonesha Engine tu. Hivyo FS ni sets za elements zake 5 kwa pamoja.
 
Trade officer ii
1. Liquor law license restrictions
2.Advantages of Selling on Credit
3.Factor to consider before price of produce
4. Short Notes
Production
Utility
Trade
Opportunity cost
Kazi mnayo na nyie.
Naskia Auditor ii nayo ilikua balaa
 
Financial statement haiwezekani iwe INCOME STATEMENT tu, ukisema FS ni lazima ujue unajumuisha hizo elements 5 kwa pamoja.
Mfano GARI ili liwe gari lazima kuwe na Chasis, engine, Siti, nk nk, huwezi sema hili gari kwa kuonesha Engine tu. Hivyo FS ni sets za elements zake 5 kwa pamoja.
Ambazo ni revenue, asset, Liabilities,Equity na Expenses si ndio?
 
Sidhani kama uko sahihi mkuu ingawa mimi sio expert wa uhasibu.
Labda nikuulize,what if swali lingekutaka uandike elements za income statement au elements of financial position,ungeandika zipi?
Me nadhani huyo jamaa yuko sahihi kabisa.
Swali zuri sana, elements of income statement ni
Revenue
Cost of sales
Administration expenses
Selling & Distribution cost
Finance costs
Investment income
Tax expenses
 
Ambazo ni revenue, asset, Liabilities,Equity na Expenses si ndio?
Mkuu naamini ulifanya kila swali, na kumaliza ndani ya muda, kumaliza paper kwa kufanya maswali yote ni hatua ya kwanza muhim, mengine tuachie wasahihishaji, maana nao ni binadam, halafu, tukumbuke kama muda umefika, kila kitu kinakuja katika njia yako mpaka unashangaa.

Kuwa na imani na process kuwa na imani na ulichokifanya, usipate pressure kubwa katika hili.
 
Ambazo ni revenue, asset, Liabilities,Equity na Expenses si ndio?
HAPANA hizo ni parts zinazounda elements kuu 5 na haziko 5 zinafika 10+ huko.

1. INCOME STATEMENTS ina pati zake ambazo ni
a. REVENUE/INCOME
b. EXPENSES
c. Profit/Loss

2. BALANCE SHEET iko na vipati vyake ambavyo ni
a.ASSET
b. LIABILITY
c. EQUITY wengine wanaita CAPITAL

3. CASH FLOW iko na vipati vyake
a. Operating activities
b. Investing activities
c. Finance activities

4. CHANGES IN OWNERS EQUITY
a. Increase/decrease in shares
b. Accumulated profit
c. Profit iliyopatikana kama dividend

5. NOTES
a. Accounting policies zinazotumika au zilizotimika katika uandaaji wa hizo FS.
 
Swali zuri sana, elements of income statement ni
Revenue
Cost of sales
Administration expenses
Selling & Distribution cost
Finance costs
Investment income
Tax expenses
Acha matango pori mzee baba. INCOME STATEMENT iko na only 3 elements
1. REVENUE/INCOME
2. EXPENSES
3. PROFIT/LOSS
 
Swali zuri sana, elements of income statement ni
Revenue
Cost of sales
Administration expenses
Selling & Distribution cost
Finance costs
Investment income
Tax expenses
If that the case, elements za financial statements ndio hizo elements za income statement, balance sheet etc?
 
Financial statement haiwezekani iwe INCOME STATEMENT tu, ukisema FS ni lazima ujue unajumuisha hizo elements 5 kwa pamoja.
Mfano GARI ili liwe gari lazima kuwe na Chasis, engine, Siti, nk nk, huwezi sema hili gari kwa kuonesha Engine tu. Hivyo FS ni sets za elements zake 5 kwa pamoja.
Nimewaletea pdf kutoka IFAC ya IFRS umeshindwa kuisoma

Hii hapa sasa screenshot kutoka NBAA ambako najua swali ndo wakolitoa
Screenshot_2023-01-15-10-46-41-766_cn.wps.moffice_eng.jpg
 
Back
Top Bottom