Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Usikate tamaa kiongozi kuna interview nilipiga nikafeli na nilikuja jf humu kuomba muongozo kabla sijaenda kwenye hiyo interview lakini majibu niliyopewa humu yalinikatisha sana tamaa lakini baada ya hapo niliuifunza aliyenacho haonagi maumivu ya asiyenacho kwahiyo mkuu usikate tamaa tupambane tu
Ni kweli mkuu ukisemacho, hasa yule aliye nacho halafu hajawahi kupitia magumu hawezi kujua uchungu wa magumu hata kidogo.

Nafasi zikitoka nitajaribu tena, binafsi nikipata kibarua cha kueleweka hasa chenye security nitasettle mule mule huku nikiedelea na alternatives zingine za kujikwamua, maana security ya Asali nchi hii ni muhimu sana
 
Hapo ndo huwa shida lakini haikuwa yako hiyo ipo yakwako inakuja mkuu
Ni kweli Muumba hugawa mirija ya Asali kwa namna yake, tuendelee kumuomba huku tukiendelea kupambana.

Ila ukijikwaa ni vyema ukaji evaluate kabla ya kuanza mapambano mapya kwani kurudia kosa ni kosa
 
Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.

Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.

Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.

Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Mkuu never give up, kaziiendelee mpk tufike it's matter of time, hii ni Vita km Vita zingine zamu kwa zamu naamini zamu yetu inakuja kaziiendelee tunajifunza daily na kusonga mbele let's keep it up kk,

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu ukisemacho, hasa yule aliye nacho halafu hajawahi kupitia magumu hawezi kujua uchungu wa magumu hata kidogo.

Nafasi zikitoka nitajaribu tena, binafsi nikipata kibarua cha kueleweka hasa chenye security nitasettle mule mule huku nikiedelea na alternatives zingine za kujikwamua, maana security ya Asali nchi hii ni muhimu sana
Tuombeane tu
 
SELECTED FOR INTERVIEW NO.
ila mara nyingi huwa wanaiona wale wanaochaguliwa kutoka kwa database unaweza kuiona iko ivy hata miez kadha ila bado hujaitwa na huwa inacheza kdgo wakikaribia kupandisha mkeka mpya wa Placement Au Ikitokea kuna placement itahusisha watu wa database huwa inachange to selected for oral Then inarudi kwa status ya SELECTED.
Wale wa Direct yani umefanya Na kufika Oral Huwezi ona mpaka usomeke kwenye placement.
Utabaki kuona selected for oral interview No.
Picha kwa Hisani ya Mdau aliwahi kuliza JF.ila alitoka from database analamba asali now.
aseeeh hizi mambo zinachosha sana akili
 
Huku washaniandika shortlisted wakati nshapiga oral😂😂😂😂😂au ndo wameshanikanda huko
 
SELECTED FOR INTERVIEW NO.
ila mara nyingi huwa wanaiona wale wanaochaguliwa kutoka kwa database unaweza kuiona iko ivy hata miez kadha ila bado hujaitwa na huwa inacheza kdgo wakikaribia kupandisha mkeka mpya wa Placement Au Ikitokea kuna placement itahusisha watu wa database huwa inachange to selected for oral Then inarudi kwa status ya SELECTED.
Wale wa Direct yani umefanya Na kufika Oral Huwezi ona mpaka usomeke kwenye placement.
Utabaki kuona selected for oral interview No.
Picha kwa Hisani ya Mdau aliwahi kuliza JF.ila alitoka from database analamba asali now.
Me kila nikiingia naona selected for oral interview No. Haibadiliki iko hivyohivyo constant. What does it mean nilipiga oral vzr tu na Wengine washaitwa job.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huku washaniandika shortlisted wakati nshapiga oral[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au ndo wameshanikanda huko
Hahahahaa, mimi ambaye sijafika mbali naona Not selected for Oral interview ndio nakshi yangu kwenye My Applications
 
Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.

Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.

Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.

Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Huoni kama utaitwa, kwanini..?
 
Back
Top Bottom