Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ni kweli mkuu ukisemacho, hasa yule aliye nacho halafu hajawahi kupitia magumu hawezi kujua uchungu wa magumu hata kidogo.Usikate tamaa kiongozi kuna interview nilipiga nikafeli na nilikuja jf humu kuomba muongozo kabla sijaenda kwenye hiyo interview lakini majibu niliyopewa humu yalinikatisha sana tamaa lakini baada ya hapo niliuifunza aliyenacho haonagi maumivu ya asiyenacho kwahiyo mkuu usikate tamaa tupambane tu
Nafasi zikitoka nitajaribu tena, binafsi nikipata kibarua cha kueleweka hasa chenye security nitasettle mule mule huku nikiedelea na alternatives zingine za kujikwamua, maana security ya Asali nchi hii ni muhimu sana