Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Swali mnalobishania mwandishi amekosea kuliandika
Lilikua linasema Elements of financial statement,hilo neno statement halikua na herufi (S) mwandishi yeye kaandika Elements of financial statements.
Ukiangalia hivyo ni vitu viwili tofauti vyenye majibu tofauti.
 
Umejitahidi kufafanua, hatuangalii ukamilifu wa swali, maana ukitoka katika mkando ni ngumu kubeba swali kama lilivowekwa katika paper, nafikiri key concept aliibeba.
 
Kama ndivyo basi majibu yatakuwa yale yale ambayo Orosso na CARDLESS wameyasema.
Mjadala ufungwe
 
Hii chakula cha mchana inahusianaje na majadiliano yenu? Acha maneno ya kebehi kama intellectuals mnatakiwa mu argue kwa point lengo likiwa sio kumtafuta mshindi bali kutambua kipi ni sahihi ili next time msipate tabu hiyo tena.
Sasa mtu unaquote kitu hujakisoma kimetokea wapi wala hujaelewa mantiki yake, ndio maana nimeuliza kuhusu lunch imepatikana au umeshindia mihogo?
 
Ni kweli muandishi kakosea kuliandika kwa kuweka herufi (s) mbele lakini sioni kama kuna namna yoyote ilivyoliathiri hilo swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…