Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ni kweli mkuu ukisemacho, hasa yule aliye nacho halafu hajawahi kupitia magumu hawezi kujua uchungu wa magumu hata kidogo.

Nafasi zikitoka nitajaribu tena, binafsi nikipata kibarua cha kueleweka hasa chenye security nitasettle mule mule huku nikiedelea na alternatives zingine za kujikwamua, maana security ya Asali nchi hii ni muhimu sana
 
Hapo ndo huwa shida lakini haikuwa yako hiyo ipo yakwako inakuja mkuu
Ni kweli Muumba hugawa mirija ya Asali kwa namna yake, tuendelee kumuomba huku tukiendelea kupambana.

Ila ukijikwaa ni vyema ukaji evaluate kabla ya kuanza mapambano mapya kwani kurudia kosa ni kosa
 
Mkuu never give up, kaziiendelee mpk tufike it's matter of time, hii ni Vita km Vita zingine zamu kwa zamu naamini zamu yetu inakuja kaziiendelee tunajifunza daily na kusonga mbele let's keep it up kk,

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tuombeane tu
 
aseeeh hizi mambo zinachosha sana akili
 
Huku washaniandika shortlisted wakati nshapiga oralπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au ndo wameshanikanda huko
 
Me kila nikiingia naona selected for oral interview No. Haibadiliki iko hivyohivyo constant. What does it mean nilipiga oral vzr tu na Wengine washaitwa job.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huku washaniandika shortlisted wakati nshapiga oral[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au ndo wameshanikanda huko
Hahahahaa, mimi ambaye sijafika mbali naona Not selected for Oral interview ndio nakshi yangu kwenye My Applications
 
Huoni kama utaitwa, kwanini..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…