Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dr kunawatu wamefanya Oral tok June... ndio maana wakauliza humu kwa wana.. kama kuuliza kitu imekuwa ujinga sawa..
maana kutoka june 18 mpk leo ni siku krb na 100...
 
Dr kunawatu wamefanya Oral tok June... ndio maana wakauliza humu kwa wana.. kama kuuliza kitu imekuwa ujinga sawa..
maana kutoka june 18 mpk leo ni siku krb na 100...
Umeuliza vyema katika hizi purukushani kuingia oral ni sawa umeingia fainali katika ushindani sasa mawazo,na subra ndefu kupita kiasi kuna zidi kuwaharibu vijana katika kufanya mambo mengine ingawaje inatambulika kuna kupata na kokosa pia,,,Pia inazidi kuwachanganya mno kuona waliotangulia wanachelewa kupata matokeo hawa wajuzi juzi yao yanatoka kwa haraka zaidi
 
Mtoto wa kabudi hata TPA alikuwa shortlisted lakini alipigwa na mchanga wa pwani
Utumishi hawaangalii status Bali brain kichwani
Huyo ni suala la muda tu, na usikute iko mahususi ili kuwafurahisha Wadanganyika wengi kuwa hata kijana mzee wa ikulu nae anasota. Kuna muda utashangaa tu yupo kitengo.

Mark my words
.
 
Jumanne ya mwezi September inaondokaaa taratiiiiibu,,,,,,,,,,Bila buguza niko hapa napata Gahawa hukuna mwenye dodoso za placement za kushushia Gahawa hapa.......
 
Jumanne ya mwezi September inaondokaaa taratiiiiibu,,,,,,,,,,Bila buguza niko hapa napata Gahawa hukuna mwenye dodoso za placement za kushushia Gahawa hapa.......
Utumishi naona hawataki kutoa placement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…