Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahahaaa, nimekupata taradali Mlumbi mwenzangu.Pole sana mlumbi wa kukandwa,kwenye maisha hatutakiwi kukata tamaa,usichoke kujaribu kaka.
Nayeyuka huku nikiweweseka kimkando mkando
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa, nimekupata taradali Mlumbi mwenzangu.Pole sana mlumbi wa kukandwa,kwenye maisha hatutakiwi kukata tamaa,usichoke kujaribu kaka.
Hao utashangaa hao wanatangulia kupataBalaa ni kwamba, Kuna Wana na wenyewe washa maliza kozi kama zetu, wanaingia kutafuta ajria.So idadi inaongezeka Wakati wanaopata ni kidogo mno....
Ahsante mkuu, maisha yaendelee huku tukiendelea kuombeanaSawa sawa Mkuu, nimekupata. Kila la kheri.
😂😂😂😂Hahhhhh unayeyuka kama mandongaHahahahaaa, nimekupata taradali Mlumbi mwenzangu.
Nayeyuka huku nikiweweseka kimkando mkando
MKUU,Ahsante kwa kupost ila unatufanyia joking jobless tuliopo humu.
Ungejua tunavyolala kwenye room za buku 5 hadi 7 huku maliwato tukitumia za jirani na room, ungejua hali jobless wanayoipitia
Haswa mlumbi mwenzangu...Hahahahaaa, nimekupata taradali Mlumbi mwenzangu.
Nayeyuka huku nikiweweseka kimkando mkando
Hili game ndo hapo linapo tia hasira,yaan wale wa first year ulio waacha chuo ,Wanamaliza na kupata wee umestuck pale pale!!!!Hao utashangaa hao wanatangulia kupata
Kada ipi nduguNimepiga oral tatu zote nasubili mirija ya asali tyu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaaani hii kitu inauma sanaBalaa ni kwamba, Kuna Wana na wenyewe washa maliza kozi kama zetu, wanaingia kutafuta ajria.So idadi inaongezeka Wakati wanaopata ni kidogo mno....
Duuh hapo NAOT au? Ilikuwa kada ipi? Kumbe fresh ftom school it's possible!?Mwaka jana kuna demu jirani alikua fresh from school alipata,sasa hivi yuko Lushoto.
Dr kunawatu wamefanya Oral tok June... ndio maana wakauliza humu kwa wana.. kama kuuliza kitu imekuwa ujinga sawa..Vijana mnaotafuta kazi msichoke kupambana kutafuta kazi,na pia acheni kulalamika mnapoona mchakato wa kuitwa kwenye Interview au kuitwa kazini umechelewa,nimeona majina ya kuitwa kazini BUNGE ambapo mchakato wa Usaili ulifanyika mwezi uliopita tu,ni vizuri kutumia muda vizuri kujiandaa kwa Usaili KULIKO kutumia muda JF kufungua Nyuzi za kulalamika mchakato wa Usaili au kuitwa kazini kuchelewa,PSRS ni Taasisi inayofanya kazi kwa taratibu na si kwa pressure za JF,vijana mliopata nafasi Bunge na Taasisi nyingine HONGERENI na mkafanye kazi
Ahsante mkuu, maisha yaendelee huku tukiendelea kuombeana
Sana mkuuHili game ndo hapo linapo tia hasira,yaan wale wa first year ulio waacha chuo ,Wanamaliza na kupata wee umestuck pale pale!!!!
Umeuliza vyema katika hizi purukushani kuingia oral ni sawa umeingia fainali katika ushindani sasa mawazo,na subra ndefu kupita kiasi kuna zidi kuwaharibu vijana katika kufanya mambo mengine ingawaje inatambulika kuna kupata na kokosa pia,,,Pia inazidi kuwachanganya mno kuona waliotangulia wanachelewa kupata matokeo hawa wajuzi juzi yao yanatoka kwa haraka zaidiDr kunawatu wamefanya Oral tok June... ndio maana wakauliza humu kwa wana.. kama kuuliza kitu imekuwa ujinga sawa..
maana kutoka june 18 mpk leo ni siku krb na 100...
Huyo ni suala la muda tu, na usikute iko mahususi ili kuwafurahisha Wadanganyika wengi kuwa hata kijana mzee wa ikulu nae anasota. Kuna muda utashangaa tu yupo kitengo.Mtoto wa kabudi hata TPA alikuwa shortlisted lakini alipigwa na mchanga wa pwani
Utumishi hawaangalii status Bali brain kichwani
Sana aisee
Ukiona leo kimya kufika ijumaa kimya tusubili placements ya pamoja kuanzia tarehe 18 ha 31 wa kumiJumanne ya mwezi September inaondokaaa taratiiiiibu,,,,,,,,,,Bila buguza niko hapa napata Gahawa hukuna mwenye dodoso za placement za kushushia Gahawa hapa.......
Utumishi naona hawataki kutoa placementJumanne ya mwezi September inaondokaaa taratiiiiibu,,,,,,,,,,Bila buguza niko hapa napata Gahawa hukuna mwenye dodoso za placement za kushushia Gahawa hapa.......