Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi ukiomba post mbili tofauti katika taasisi moja...moja ukaletewa email nyingine usitumiwe ina maana haijafika? Na je ikiwa nina vigezo vilivyokwenye tangazo kila nikiklick ili niombe inasema sina vigezo hapo inakuwaje...mpaka ikabidi barua niweke katika post niliyokuwa siitaki...yaani barua tofauti na post....msaada wakuu
 
Kaka tunaishi kwa imani tunaamini km Mungu amepanga ipo ipo tu, na kama hajapanga pia tunashukuru kwasababu tunayopangiwa yote ni mema na tunastahili kwa wakati husika,,,
Shauri yako
Achana na status mzee baba.

Kuna mate wangu Alienda oral ya chuo cha maji lkn ni almost 2yrs now status iko SELECTED FOR oral kama hiyo yako.

Subiria pdf.
fanya mishe zingine
 
Shauri yako
Achana na status mzee baba.

Kuna mate wangu Alienda oral ya chuo cha maji lkn ni almost 2yrs now status iko SELECTED FOR oral kama hiyo yako.

Subiria pdf.
fanya mishe zingine
Sure kabisa mkuu, hili somo nimelielewa huwa nasahau kbs sema niliona tu imekumbushiwa kwa juu nikaona nichangie, lkn nishamove on KITAMBO SANA.....
 
Shauri yako
Achana na status mzee baba.

Kuna mate wangu Alienda oral ya chuo cha maji lkn ni almost 2yrs now status iko SELECTED FOR oral kama hiyo yako.

Subiria pdf.
fanya mishe zingine
Kifupi status hazina issue ni ksbri tu pdf as long utumish hawana utartbu wa kuweka wazi matokeo ya oral bas ni kusbri t pdf hayo mengne ya status ni kujarbu t kujipa moyo kwmba ulifaulu lkn uhalisia utumishi ndo wanaojua
 
Wale panelists ndio wanaamua tu wamchukue yupi,hii ni kutokana na wao wanavyoona kama utawafaa au lah...
 
Prok ni mtu mmoja ningependa kuona nae, inaonyesha una moyo sana, mtulivu na mwenye subira.

Natamani hadi kutangaza NiaπŸ˜‡

Au nitangaze
 
Prok ni mtu mmoja ningeenda kuona nae, inaonyesha una moyo sana, mtulivu na mwenye subira.

Natamani hadi kutangazwa Nia[emoji56]

Au nitangaze
Kila jambo la kheri huenda kwa kheri kila la kheri kaka. Sio jambo baya pia ni baraka tu, Mm binafsi nimewabless vijana jengeni mji. Prok nisamehe kama nakosea[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…