Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwann hizi nazo hawajaziweka kikanda kama MDAs @ LGA..

Wote kwenda Dodoma nikuchoma nauli
Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.

Ila Kuna kitu nimekiona, kutokana na taasisi nyingi kuita usaili mwishoni mwa January So unakuta mtu katokea taasisi tatu na ni sehemu tofautitofauti na mida kama inafanana kimtindo.
Kuna Mashikaji wangu hapa kaitwa;

• Dodoma; Usaili mchujo ni tar 29
January, mda wa pepa ni saa 7
mchana😂 hapa Oral ni kuanzia tarh 2 - 5 ferbuary

• UDSM; Usaili wa mchujo ni tar
28 January saa 1 asubuhi then
Oral ni tar 30 kama atafanikiwa
kufika Oral

• Hapohapo ana Usaili mwingine
wa Oral mojaKwaMoja tar 30
January.(Yaan ni post nyingine inajitegemea, Oral pekee)

Halafu Yuko huko Kanda ya Ziwa sijui atajigawa vipi hapa 😂😂
 
Noma sana, hapo atakumbana na dilemma hatari.

Maana kila atakapoangalia penye unafuu kumbe ndio Sugunyo yenyewe.

Mungu amtangulie afanye decision nzuri
 
Hizi za kurundika pamoja ni mtihani kweli kweli, mara nyingi unakosa chaguo, apime kwenye unafuu kwake(kwa maana kule kwenye module/course anayoielewa vizuri zaidi), akomae napo, sio anapopapenda (kwa maana ya taasisi iliyotangaza ajira)
 
Wasiliana nao utumishi mapema, ila wakuongeze kwenye majina ya nyongeza watakayoyatoa .. huwa wanatoa majina ya nyongeza nje ya hayo waliyoyatoa awali..
Inabidi afanye hivi akishajua sababu ya kutokuwa shortlist.

Sasa atuambie kama kawekewa sababu au la
 
Inabidi afanye hivi akishajua sababu ya kutokuwa shortlist.

Sasa atuambie kama kawekewa sababu au la
Sema mpaka Sasa hawajaweka namba za mitihani ndo maana jamaa anashindwa kielewa sababu ya kutoitwa.. hebu tusubiri kesho siku ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…