Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapo inaitwa unyama unyamani....
 
Tayari hizi mkuu TUMEITWA USAILI UDOM CIVE TAR 29 JANUARY SAA 7 MCHANA WRITTEN NA TAR 5 FEB SAA1 ORAL MIGIRO
SHTUKA CHAP. BADO KUPEWA NAMBA TU KWENYE WEB.
Zimetoka kwenye pdf refu lile la kuitwa usaili taasisi mbalimbali.
Hayuko makini huyo mkuu, au ye Huwa anachungulia tu huko received, namba Huwa haziwekwi mapema Ila pdf ukicheck majina yamo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au sio kaka unawrza ukaomba TGS D ukashangaa umetupiwa PRSS1[emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu hii ni scale ya TARI.. sijajua wanakula sh ngapi pale kwa wenye Degree na Diploma.
Jamaa wekeni basi Mishahara hiyo japo bado hatujaingia kwenye mirija(ni Suala la mda tu) mnakuwa wachoyo Hadi kwenye namba😁
 
Kuna yule Tutorial Assistant mpya wa Chuo Cha Kilimo Nyerere Butiama,, alikuwa akizisubiria sana hizi za TPDC licha ya kupata kazi.. Yuko wape yule mbona kimya...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…